Dark days 17/03/20

Mimi yoga bado na mwaminia. Alisema hapa kuwa wamejiandAa shoot to kill.
Yoga pia alisema Kuna karatas ya udini na sasa imepamba moto rasmi MaSheikh sasa hivi kila ijumaa na Magroup trending ni kwamba Wakatoliki ni waovu Wana Nia ovu na waratibu wa Fujo kisa Rais Muislamu kawashika pabaya .

Jana kabla ya hotuba ya Rais Padri Kitima katoa spana kwa Rais tena za Nguvu za kuchoma.

Leo Rais kawachamba na kuwachana.

Na baada ya Press ya Kitima MaSheikh na Waislamu wengi wameona kuwa Kanisa Katoliki linaleta ubabe na kujiona wao ndio vinara katika Nchi.

Ukijumlisha na hotuba ya Rais kuwavaa TEC directly sasa upande wa MaSheikh na Waislamu washaona dhahiri kuwa TEC wanahusika kumhujumu Rais .

Wiki hii sipati picha jinsi hotuba za ijumaa zitakavyokuwa na impact yake .
 
Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
Yoga, now I see....Kwa kauli ya Leo kuwa hata mkiairisha ikawa December 26...kivyovyote, na kwa Wakati wowote tuko tayari....na kurejea nyuma kauli zako ambazo umekuwa ukasema hivi karibuni...kuwa Jamaa hawana plan ya kurudi nyuma wala kuomba msamaha...

Yanipasa kusadiki unayosema baadhi ya nyakati kuwa ni kweli...kufikiri kuwa Una connect dot yaweza isiwe sahih sana.

What next sasa? Mwisho wa haya nin? Nature?
 
Akili ya hovyo hii. Hiyo jana spana zipi alipigwa raisi? Au ikisemwa serikali anasemwa raisi directly?

Pili iwe wanasema sababu ni dini au sio dini,bado serikali itaendelea kukosolewa kwa nguvu kubwa. Hakuna watu watakaa kimya kisa eti masheikh hawapendi
 
Mwenyewe leo ana cheeeka, ...........

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‹ Kilikosekana tu kijora leoπŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£.... Mmechambwa leoπŸ€£πŸ™(jokes jamani msinune sasa)

Any ways Poleni wapendwa, Iko hvi jumamosi wiki hii tunaanza rasmi

Title ni " The shadow president"

uskose

Enheeee, nawakumbusha....... Safarii hii wamewapa na RPG πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‹ WALE WAKAKI, (Jokes) Sema maelekezo ni asionekane mtu barabarani ana kitu kinaitwa ngoba, ni mwendo wa shoot to kill!!

Kama walivyo mpongeza kwa lakimbili security guard mmoja kwa kumimina za kutosha ndivyo wamehaidiwa zaidi, so watch out!! Stay safe ...

Baadae ntarudi Kuna kajambo kananikereketa sana!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Urudi Tu utupe dondooo japo ni ngumu kumeza!
 
Tulale ama tusubirie hiko kinachokuwasha washa. Hebu kiweke hapa asee tukalale.
 

yoga Kumbe mgombea ndo mkali vile, Sio kwa vile vichambo sio Gen Z, Mambeberu wala wazee wote tumekula za Uso 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…