Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,303
- 10,081
Ungeelewa nilichoquote ndio ungepata jibu.Na asilimia kubwa ya wanaotekwa? Mmeshindwa udini ,siasa mnatafuta pa kutokea ,hiki kizazi ni tofauti na huko nyuma hao wanaomiliki kampuni wanapaswa kuwaza tofauti hivi visingizio havitasaidia vijana wamekataa ,siku watapata tu mbinu na njia na mbuyu utaanguka
Dr Ulimboka alitekwa na akapatikana nitajie watu waliotekwa na kupotea kabla ya Magufuli.We nae ni mpuuzi,Magu ndiye alieasisi katiba mbovu ya hii nchi?kutekana hakujaanza enzi za magu ,kumbuka issue ya Dr ulimboka alitekwa kwenye utawala wa nani?Suala la wapinzani kubambikiwa kesi za kipuuzi halijaanzia kwa magu ni toka huko enzi za mkapa.
Ebu acheni kumsingizia huyo mzee mambo yenu ya kipuuzi mliyoyafanya
Suala ni mfumo na sio mtu ndio maana leo watu wamemsahau Polepole. Polepole angekosoa mfumo angekumbukwa. Lakini hata kama tukipata katiba mpya hatuwezi kumpa heshima Polepole. Maana yeye alikuwa anapinga mtu na sio mfumo. Wakati tatizo la nchi yetu ni mfumo.Asilimia kubwa ya waliondamana ni wafuasi wa Maguβ¦β¦
Sisi tutamkumbuka Polepole, wewe na familia yako ndio hamtamkumbuka.Suala ni mfumo na sio mtu ndio maana leo watu wamemsahau Polepole. Polepole angekosoa mfumo angekumbukwa. Lakini hata kama tukipata katiba mpya hatuwezi kumpa heshima Polepole. Maana yeye alikuwa anapinga mtu na sio mfumo. Wakati tatizo la nchi yetu ni mfumo.
Huna mdogo wako uniozesheAisee??
Ukweli mchungu ila jamaa ameshasahaulika vibaya mno.Sisi tutamkumbuka Polepole, wewe na familia yako ndio hamtamkumbuka.
Mimi na wewe tunamjadili hapa, sidhani kama huku ni kusahaulika.Ukweli mchungu ila jamaa ameshasahaulika vibaya mno.
Hii inaonyesha watanzania walivyokuwa wajinga na wanasahau mapema.Asilimia kubwa ya waliondamana ni wafuasi wa Maguβ¦β¦
Na waliskiliza Onyo.Hii inaonyesha watanzania walivyokuwa wajinga na wanasahau mapema.
View: https://www.instagram.com/reel/DQ5Bc5AjK8C/
Mimi kwa mara ya kwanza kufungukiwa na mambo haya ni riwaya ya mkuu The Bold humu Jf ya vipepeo weusi . Ya Zamani sana humu wenyewe alisema kwa namna Fulani Ina uhusiano na yanayoendelea katika siasa za Tz .I think mpaka sasa Bado hamuwaelewi Hawa watu, how powerful they are,
Hawa watu hawana huruma Wala simile na yoyote, kwenye maslai Yao!!
Kwa walipo fikia....... to remove them u need war, namaanisha guns and lot of bloodshed, can wehandle that??
Nakubali Bichwa Jasusi la KGB.Ni kweli.
Kuna mbinu ya kisaikolojia anacheza nayo.
Duh! Mwamba hatari umeichimba mpaka umepata hiiyoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
πππ Najaribu na mimi kuwa mtu wa system kama yogaDuh! Mwamba hatari umeichimba mpaka umepata hii
Ndugu yangu hata tukipata katiba mpya nchi yetu ikawa kama Botswana. Nipe sababu ya kumjengea sanamu Polepole. ππππ Watanzania tunaendekeza ujinga sana.Mimi na wewe tunamjadili hapa, sidhani kama huku ni kusahaulika.
Watanzania wajinga sana yaani mtu amejaza wasukuma. Mama akaingia akajaza wazanzibari mpaka wilayani. Rais aliyeanzisha kufukuza kazi bila mchakato. Mama kafukuza wakurugenzi wa TISS wangapi ? Rais aliyependelea kwao, Nenda unguja ukaone palivyobadilika. Rais wa kwanza aliyemteua ndugu yake Biteko kuwa waziri. Mama sasa kaweka mkwe na binti kwenye uwaziri. Ombeni sana Mungu katiba ibadilishe la sivyo Rais ajae mwendo ni ule ule. Matatizo yite yatakayokuja mbeleni yameanzishwa na Magufuli. Watu walianza kutekwa na kupotezwa kipindi chake.Na waliskiliza Onyo.
Saiv wametoa onyo na watu hawajaskiliza huoni utofauti?
Una lingine?
Watu wanasema yoga antunga kwenda na trend mara anatumika na wanamtandao ila cha ajabu bado wameganda humu wanamfuatilia.
Sisi tumemkubali Yoga alete chai awe anatumika hatujali sisi tunataka stori tu tutachambua wenyewe kijasusi.