Dark days 17/03/20

Watu wanapenda kuambiwa wanachotaka kuskia, Ukiwaambia kingine wanakuona hauko upande wao.

Hat polisi wapo ambao wapo na wananchi, na ndo maana skuile mwafyrls anapo watisha polisi wakamrecord na kutuma kwenye magroup.
ukitumia sana feelings kwenye hzi comments za yoga lazima useme unakatishwa tamaa but usipo attach feelings you will take note 📝
 
Tafuta peter lemo wa Kenya!!!
Wengine wanaotumiwa siwajui!lakini unakumbuka kipindi Gwajima akihisishwa na urais!!?manabii wengi walimtabiria Hadi Leo hamna kitu!
Kuna hawa wawili kwa ku join dot ni sehemu ya manabii wa wanamtandao? 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_2025-11-18-23-39-31-962_com.facebook.katana.jpg
    247.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_2025-11-18-23-41-26-821_com.facebook.katana.jpg
    334.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_2025-11-18-23-38-48-065_com.facebook.katana.jpg
    198 KB · Views: 15
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule

Devide & Rule = kuua tunu iliyobakia Tz inaonesha desperation.
Kukosekana kwa consistency katika brand ya "Oct29" Ndani mwao Inaonesha panic..

Suprise attack ya "Oct29" Inaonesha kutokujiandaa na kukosa taarifa, Reaction yao ilionesha kukosa direction wala back up plan.

Reaction ya wanajeshi , polepole & captain Tesha ilionesha uwepo wa power nyingine kubwa behind the scenes. Kilichotokea Oct29 yawezekana hawakufanikiwa lakini kuanzisha new phase kwa watanzania. Hiyo ni success

Kwa akili yangu ndogo ya kuchambua bongo flava naamini hii si mtandao vs wananchi ila kuna powerful block nyingine kubwa against the existing system.

Who are they ?..
 
yoga may you explain this tafadhali
 
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule
Sasa inabidi uwafikishie ujumbe kwamba hio mbinu ya udini wanaojaribu kuifanya ishafeli vibaya sana ..Hakuna kipindi watanzania wote kwa ujumla wao wameungana kama hivi sasa..Piteni mtaani mkusanye maoni!Sababu waliouwawa ni wapagani,wakristu na waisilamu kiujumla kwahiyo hio chuki sio ya dunia hii.
MJe na jengine ila mwendo ni ule hatupoii!

Nchi imeshikiliwa na wananchi hivi sasa hatutaki chama cha siasa chochote kituzungumzie lolote!
 
**“Si quieres mover la balanza, tienes que tocarles donde más sienten el golpe.
👉 Y ya tú sabes:


  1. (su nido)
  2. (los caminos de riqueza y las ventanas del país)
  3. Las voces que conectan y los fuegos que alimentan la ciudad.
    Perdona la claridad, pero es la única ruta.
    Si no, es perder viaje.
    ¡Chao!”**
 
Wapo kama fisi hawaridhiki na mwli walizo nazo tayari
 



Kwa ufupi








Ujumbe wote unamaanisha kwamba ukitaka kuleta mabadiliko au kuathiri mfumo fulani, sharti uende kugusa maeneo yao muhimu:





1️⃣ Kitu wanacholinda sana


2️⃣ Vyanzo vyao vya pesa na nguvu


3️⃣ Sauti na mifumo inayoshikilia jamii





Ni kama ushauri wa kimkakati, wa kufikirika, si wa moja kwa moja.
 
Kosa la Pole sio Timing wala Backup. Kosa lake ni vision, unaachaje kazi na kusema haumtaki mgombea lakini unataka uchaguzi ufanyike. Huyu jamaa alitumia hisia kufanya maamuzi na sio akili. Hotuba yake ya kwanza ilitakiwa iongee kuhusu kusogeza mbele uchaguzi then tudraft katiba mpya. Ndio maana hadi sasa wameshamsahau.
 
Eso es muy peligroso, amigo. Eso significa guerra
 
For sure lipo open ilo
 
Sema moja ya kitu najiuliza anachofanya hapa ni kwa faida ya Nani ??
 
Kunaoneka Kuna watu wanfanya placing , Kuna Uzi wa malcom lumumba pia anawaza the same thing maandamano dar yalikuwa too well executed for first timers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…