Dark days 17/03/20

Nature will decide (watu Bado hawaelewi hii sentensi)
Nature huwa ina take time ku decide na hata iki decide katika mazingira haya itakuwa ni kuongeza idadi ya wanafamilia tu maana atakayekabidhiwa na yeye ni mwanafamilia ambaye atataka kuwatambulisha wanafamilia wake pia kwasababu mchezo unavyoenda anaufahamu
 
Na wanamtandao walivyo wajanja wanasindikizia na unabii kuwasanua watu kwamba Mungu kapanga hivyo!!

Huko YouTube naona Tayari wameshahalalisha kupitia nabii zao!
Master RESILIENT KATO

1. Vipi huko YouTube ni channel ipi naweza kuiona hiyo?

2. Vipi mkuu katika wale wanaojita manabii Tanzania, ni yupi na yupi hutumiwa na kundi la BRN T?
 
Yoga safari hii wana hali ngumu huo ndo ukweli, Mara nyingi mipango yao imeenda kadri wapangavyo lakini awamu hii imekuwa tofauti, walijua wangetikisika lakini sio kwa kiasi hiki. Kuna hesabu zao walijikanganya mahari kwa kudogosha kile Watanzania wanaweza kufanya ndo maana walipanic wakaua hovyo, wako tayari kuua zaidi lakini mwisho wao hakika umewadia hilo ni hakika kabisa tusubiri muda tu. Wao wenyewe washavurugana na wanampasuko, sio wamoja tena. Huku nje kwa Raia ndo kabisa hamna mbinu yeyote wanayoweza kuifanya ya kutuliza upepo, awamu hii ni ngumu kwao
 
Wateja uliowadharau wameamka,
 
Master RESILIENT KATO

1. Vipi huko YouTube ni channel ipi naweza kuiona hiyo?

2. Vipi mkuu katika wale wanaojita manabii Tanzania, ni yupi na yupi hutumiwa na kundi la BRN T?
Tafuta peter lemo wa Kenya!!!
Wengine wanaotumiwa siwajui!lakini unakumbuka kipindi Gwajima akihisishwa na urais!!?manabii wengi walimtabiria Hadi Leo hamna kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…