uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,087
- 2,993
Tunawajua,ila hatuna la kuwafanya,mtu mmoja alisikika akisema tupo kwenye ''state capture''Trust me, it won't be what u wish now but letter on it will... π Don't be confused with all these dramas, usije sema sikukiambia!! Tatizo hamuwajui vizuri hawa watu they are very good at maigizo!! December sio mbali
Siku ile nilipomuona Gadafi anatolewa kwenye mtaro wa maji machafu,Mubarak wa misri yupo kwenye toroli anasukumwa, ndo nilijua mwenye mamlaka ya kudumu ni Mungu wa mbinguni peke yake.Lakueleweka jiandae na mitano tena zingine ni kelele tu!!
Kama Umeelewa hilo bqsi tuliaSiku ile nilipomuona Gadafi anatolewa kwenye mtaro wa maji machafu,Mubarak wa misri yupo kwenye kwenye toroli anasukumwa, ndo nilijua mwenye mamlaka ya kudumu ni Mungu wa mbinguni peke yake.
Kumbe polonium ni mmea tiba ?
What a promise...! Tena December 25 kamili. Thank you....December sio mbali
Mitano tena Samia SuluhuWhat a promise...! Tena December 25 kamili. Thank you.
Saa 4: 43 usikuMitano tena Samia Suluhu
Duuuh,kumbe bonge la bibi naye ni hatari sana kumbe?πKwenye huu uzi hatutaji majina halisi bosi. Ila Mr weight ni moja ya wahusika kumuuondoa ex ceo na kumbuka hata issue ya ntwara ex ceo aliponea chupuchupu Mr Weight alitoa pongezi kwa current ceo kuwa amekuwa rais na baada ya hapo ex ceo alipiga mpaka wimbo wa dini akidhani kapona. Matendo ya current ceo yanaonesha alimuua ex ceo ili ashike utamu bila kujua kuwa na yeye yuko hatarini kwa sababu watu wa cuba nao wameshachora mchoro wa wahusika wote
Unafuatilia porojo ???Hizi porojo bado zipo tuu
NdiyoUnafuatilia porojo ???
Kwa hiyo Edo ndio alikuwa mzalendo? hivi unawajua ccm vizuri?Ayatola wa Tanzania wa mchongo, muhuni muhuni, Fisadi baba wa mafisadi Tz kwa kumwongopa Edo na team yake alihamishia Dodoma makomando ili awe na ujasiri wa kumkata Edo,
Nadhani wazalendo wasipokuwa makini ndicho atakachokifanya
πππMambo ni motoooNgoma bado ngumu hii, si umesikia kizimkaz vikao vimepamba moto mama lazima anajipanga na comeback π₯Ή
Thubutu yakeMitano tena Samia Suluhu
Hata ye Kuna mambo hajuiKwa mkeka huu nadhani yoga ni chanzo sahihi cha habari.
Kafara zinawasaidia dada ndio mana hakuna lolote lilitokea ama zilikua ni porojo tu. MUNGU mwenyewe ndio ataamua la kufanya.πππ
Kwenye comment hapo kuna sehemu nimeandika Edo mzalendo?Kwa hiyo Edo ndio alikuwa mzalendo? hivi unawajua ccm vizuri?
mkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .Kwa mkeka huu nadhani yoga ni chanzo sahihi cha habari.