Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,127
Wameshaanza na ruzuku. Ila hapa watafanya vikundi vya kigaidi vitokee, kuiua chadema haitakuwa rahisi kama wanavyofikiria.nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it's the end
nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it'
Wa comply na nini ? Siasa la ulaghai za kuamriwa na dola au Mwenyekiti wa CCM?nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it's the end
Aisee...! ushauri ni tuwe wapole.....big boss till to day is still in power whatever he likes might be!
Mmbea baba ako..anzisha uzi wako kasa mkubwa weweHuyu Yoga anawalisha upepo tu ID za kuaminika humu zinajulikana zinaleta taarifa moto moto na zinatokea mfano Britannica, huyu Yoga ni mpiga ramli tu na umbea
Kwa akili hizi huyo kenge mwenzenu unadhani anashindwa kuwadanganya kwa story uchwaraMmbea baba ako..anzisha uzi wako kasa mkubwa wewe
Cheki kichwa hichoβ¦kikubwa hata kusikitika huweziKwa akili hizi huyo kenge mwenzenu unadhani anashindwa kuwadanganya kwa story uchwara
Mbona mengi aliyoyasema yametokea na yanaendelea kutokea?Huyu Yoga anawalisha upepo tu ID za kuaminika humu zinajulikana zinaleta taarifa moto moto na zinatokea mfano Britannica, huyu Yoga ni mpiga ramli tu na umbea
Alitusimulia story ya ambayo yalikwishatokea tayariMbona mengi aliyoyasema yametokea na yanaendelea kutokea?
Wewe ni Dada Yoga?Mmbea baba ako..anzisha uzi wako kasa mkubwa wewe
Anasimulia ambayo Kila mtu mfuatiliaji anayajua yaani ni sawa Director atengeneze Filamu ya Mtwa MkwawaMbona mengi aliyoyasema yametokea na yanaendelea kutokea?
Anataka tumuamini yeye Mzee wa chai=Mzee wa UONGOπMbona mengi aliyoyasema yametokea na yanaendelea kutokea?
Anatusaidia sisi tusiofuatilia.Kila mtu mfuatiliaji anayajua
Aisee,msajili ametengua uteuzi wa viongozi wa CDM na amekiondolea ruzuku pia πRead step two very carefully π and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention
I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke
And remember these words na angalia what is coming
π"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"
πThey think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the π is watching them so they are looking for a friendly way π it's up to them
πAll assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target π― just be patient and enjoy the game
Una wasiwasi chawa?Story za vijiweni mnachukulia ndiyo hali ya nchi wapuuzi nie
Nimeelewa kitu hapa βοΈKuna baadhi ya mambo yanatokea nadhani mengine hayana baraka zake kabisa!niliwahi soma Mahalia kuhusu marehem Mzee kibao kwamba maelekezo yalikua wamhoji TU wasi messup na uhai wake !lakini wahuni wakaharibu nadhani hata yeye Kuna baadhi anaumia kuona yanafanyika kinyume!!
Hasta hayati jpm alihoji kuhusu utekwaji wa Mo dewji,inaonekana usipofuata maelekezo ya wale jamaa lazima utatengenezewa makosa Ili wapate uhalali wa mission Yao wanayoitaka!!
MI NAAMINI HAKUNA NAMBA MOJA ANAETEKA WANANCHI KARIBU NA WAKATI WA UCHAGUZI IKIWA ANATAKA KURA TOKA KWA WANANCHI HAO HAO!!
NAWAZA NA KUWAZUA!
britanicca na Tumia akili ndo naelewa nikisoma info za uhakika wengine hawa hamna kituHuyu Yoga anawalisha upepo tu ID za kuaminika humu zinajulikana zinaleta taarifa moto moto na zinatokea mfano Britannica, huyu Yoga ni mpiga ramli tu na umbea