Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

Nilisimuliwa na mzee mmoja aliyepigana vita vya kagera.
Alianza kwa kuniambia mwanangu ikiwa hauamini uchawi haimaanishi haupo ngoja nikusimulie kisa nilichoshuhudia.
Anaanza kwa kusema

Mzee: Tukiwa kambini mojawapo ya siku za vita hatuna chakula na vita inabidi ipiganwe,

Mimi: Enhe

Anaendelea,

Mzee: Mmoja wa wenzetu akatuambia twendeni huku, tukatoka tukaenda tukafika mahali wanachunga kundi kuuuubwa la ng'ombe. Yule mwenzetu akasema nisubirini hapa, akapiga hatua kadhaa mbele yetu akayapanga mawe yake kadhaa mithili ya kimlima akanena maneno kadhaa kisha akatuita akasema kate kundi la ng'ombe tuondoke nao.

Mimi: Ina maana mlikua hamuonekani na hao wawachungao?

Mzee: Hapo ndipo nakuambia hata kama huamini uchawi haina maana haupo. Tulikata kundi la ng'ombe mbele ya wale wachungaji, tukawaswaga mpaka umbali fulani bila kuonekana wala ng'ombe kuonekana. Kisha yuke jamaa akarudi hadi sehemu pale alipoyapanga mawe yale akafanya alichofanya tukaona akiyatawanya mawe yale.Tukaendelea kuwaswaga wale ng'ombe mpaka kambini jumla tulipata ng'ombe 100 baada ya kuwahesabu tulipofika kambini. Na kwa siku tulikua tunaangusha ng'ombe 8 hapo kambini.

Sasa mtu kama huyu anaweza kutumia uchawi huu kufanya tukio kubwa la kihalifu bila kujulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya maeneo ndipo heshima za watu na fani zao huwa zinarudi.

kamanda anaachwa aongoze muda mrefu tu watu wametulia,kuna muda ukifika akitoa maelekeze ananyanyuka mjuba fulani na kutoa kama pendekezo,mkuu hapa nashauri isingekuwa hivyo tufanye hivii.sasa wewe jifanye umesomea vita kwa osama,utauona moto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh ok
Ni wachache wamewahi kusoma aina hii ya ujuzi na wakatoka salama na ndio maana hadi leo sio sayansi pana miongini mwa jamii nyingi za kijasusi....

Lakini mkuu zitto junior ili walau uelewe kwa mbali inabidi usome kuhusu huo uchawi mweusi na huyo jasusi inaonekana aliuwawa kwa CURSES HEXES ambapo nia ni kukufanya uwe mhanga wa kifo katika uwezo wako mwenyew na aina hii ya mauaji hufanyika eneo tulivu sana huku muuaji akiwa katika angle ya Brevity na mlengwa akiwa angle ya curation.....

Hii inakuwa ni kama zoezi la kuhamisha kivuli chako mwenyewe na alipakiwa kwenye begi kwa njia ya SPELL ambapo unaweza kuamua kufanya kitendo ukiwa nyuma ya kitu yani mfano unaweza kuhamisha kitu ndani nakukiweka sehemu nyingin ukiwa nje na umefunga mlango ila lazima uwe karibu na mlango.....

Dah huyo jamaa alikufa kifo kibaya sana na chenye mateso mengi japo hakina ushahidi...

Lakini pia alieuwa naamini alikuwa katika mazoezi ya vitendo....

Naomba niishie hapa ila ni hatar kujifunza Dark Magic/art View attachment 855182View attachment 855182View attachment 855183View attachment 855182View attachment 855183
Aiseehh
 
Back
Top Bottom