Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,852
- 95,801
HahahahahaMi nilikua napiga penzi na soksi za pundamilia mpaka nusu ugoko. Watu walikuwa wananikodolea sana macho, nilidhani kuwa wananionea wivu lakini leo ndo nimejua kwanini walikuaga wananishangaa