Darasa la kupigilia pamba kijanja

Inategemea na saa yenyewe.....TAG HEUR i

66f2c32aab2295a849f8dd201854632ca5a0c15d.png
 
Bitoz ni kweli wakati mwingine Rangi ya Mwili inakataa Mavazi ya Rangi fulani au ni upangiliaji tu unaweza kupambaika????
 
Mtu kapiga shati kubwaa la mauamaua, tai nyekundu na chini kapiga jeans imechanwachanwa na makubazi
 
Back
Top Bottom