Darasa la kupigilia pamba kijanja | Page 14 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasa la kupigilia pamba kijanja

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by Bitoz, Mar 17, 2016.

 1. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu,

  Nimeona na mimi nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha.

  1.Epuka kuvaa marangirangi
  Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya rangi,rangi 3 tu zinatosha kukutoa bomba.[​IMG]

  2. Vaa kulingana na mazingira/sehemu
  Mtu mjanja anajua kubadilika kulingana na mazingira,sio kuvaa jezi la Man utd lenye jina la Wazza kwenye sherehe [​IMG]

  3. Masharti ya kuchomekea;
  * Marufuku kuvaa oversize/undersize
  * Usivae mlegezo
  * Hakikisha singlet haionekani
  * Usivae mkanda mrefu
  * Usivae makubanzi/sandals
  * Hakikisha umemach rangi[​IMG]

  4. Kama umevaa pensi /kaptula...
  * Hakikisha unavaa soksi fupi zisizoonekana
  * Piga raba au makubanzi/sandals bila soksi
  * Haipendezi kuchemekea
  * Hakikisha miguu ni soft [​IMG]

  5. Usivae shati jeupe kama la mwanafunzi
  Shati nyeupe ni nzuri kama unaijulia wakati unanunua hakikisha ina urembo wa aina yoyote ile au ni ya kimtindo sio kuvaa shati la shule.[​IMG]

  6. Hakikisha una suruali nyeusi
  Mwanaume yoyote yule wa kijanja anajua umuhimu wa suruali nyeusi sababu inamatch mashati ya rangi nyingi.[​IMG]

  7. Saa
  *Kama umevaa jeans/kadet unaruhusiwa kuvaa saa ya aina yoyote
  *km umevaa suti/suruali ya kitambaa epuka kuvaa saa ya mkanda wa plastic. [​IMG]

  8. Miwani
  Duh hapa pagumu kidogo lakini cha msingi zingatia muundo wa kichwa chako pamoja na aina ya macho uliyonayo na aina ya pamba ulizovaa pia.Sio umepiga jeans kali,kichwa kama madenge na macho kama bundi kisha unapiga miwani ndogo ya njano,ni kituko [​IMG][​IMG]

  9/.Vaa kofia za kijanja
  Kofia pia huongeza mvuto,chagua kofia kulingana na aina ya kichwa na mavazi uliyovaa,haipendezi kuvaa suti na kapelo.Kanzu sharti ivaliwe na barakashia ndo utaeleweka la sivyo ni sawa na kuvaa dera tu [​IMG]

  10/Mkanda
  *Usivae mkanda mrefu km vile umefunga nyoka kiunoni
  *Mikanda ya vitambaa au madoidoi inafaa kuvaliwa na jeans/kadeti/kaptula
  *Jitahidi mkumatch rangi ya mkanda na viatu kama umevaa nguo za kuchomekea
  *Zingatia upana wamkanda na rux za nguo yako[​IMG]

  11/ Tupia cheni za ukweli
  Mikufu ya kiume pia huongeza mvuto
  * Kama umevaa nguo za kuchomekea au suti itapendeza ukivaa cheni ndogo ambayo haitokezi nje ya shati
  *Kama umepiga pamba za kishua mfano T.shirt na jeans hapa tupia cheni kubwa lakini hata cheni ndogo zinakubali[​IMG]

  12/Uvaaji wa Tie
  *Vaa kulingana na urefu wako
  *Km wewe mwembamba inapendeza kuvaa tie nyembamba
  *Jitahidi kumatch tie na rangi ya shirt/suruali
  *Hakikisha tie yako imefungwa vizuri shingoni[​IMG]

  13/T.shirt na Jeans
  Wanaume wajanja wa mjini hupenda kupiga t shirt na jeans na chini kutupia raba Kali.....Vazi hili lina mvuto wa aina yake hasa limivaliwa kitaani na sehemu za mitoko km vile kwenye Club za starehe [​IMG]

  14/Vaa viatu kijanja
  Hapa pia Kuna changamoto
  *Usivaa suruali ya kitambaa na Raba
  *Usivae suruali ya kuchomekea na makubanzi
  *Ukipiga jeans unaweza kumatch t.shirt/shirt na rangi ya viatu
  *Ukivaa suti yakupasa upige kiatu kikali ....ulikosea itakuwa sawa na Toyota Mark X yenye matairi ya Fuso !!![​IMG][​IMG]


  ***Usipojua kuvaa utadharaurika***

  The Bitoz
   
 2. Mboya Allie

  Mboya Allie Member

  #261
  Jun 20, 2016
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 25
  Kama huyo jamaa hapo...uzuri wa jeans miaka yote thamani yake ipo juu.
   

  Attached Files:

 3. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #262
  Jun 20, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Acha jeans iitwe jeans.....hata nifikishe 50yrs siachi ng'o
   
 4. Mboya Allie

  Mboya Allie Member

  #263
  Jun 20, 2016
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 25
  Hapo kitu cha jeans Levi's/Wrangler/True religion au Diesel halafu juu umetupia t-shirt ya mapigo hayo Lacoste/ Guess
   

  Attached Files:

 5. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #264
  Jun 20, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 6. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #265
  Jun 20, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Unapenda vya kimataifa
   
 7. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #266
  Jun 26, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #267
  Jun 26, 2016
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Mark X tairi za fuso........safi sana hii.....
   
 9. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #268
  Jun 26, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Ndio ivo
  Wadada wanajali mavazi kuliko wanaume
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #269
  Jun 26, 2016
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Sana.......
  Ila Mimi jeans mraruko na kanyela mumo zimenikataa.........
   
 11. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #270
  Jun 26, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #271
  Jun 26, 2016
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
 13. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #272
  Jun 26, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Km jina lako lazima uonekane Pretty girl ...hata mimi navaa nguo za sina zote kulingana na muda na mazingira au sehemu
  Mavazi humpa mtu muonekano hasi au chanya mbele ya jamii
   
 14. Rahabu

  Rahabu JF-Expert Member

  #273
  Jun 28, 2016
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 5,244
  Likes Received: 2,403
  Trophy Points: 280
  Hatarii hatarii
   
 15. a

  albon hamisi New Member

  #274
  Jun 28, 2016
  Joined: Jun 16, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimependa snnnn iyo
   
 16. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #275
  Jun 28, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  Lipia mkuu
   
 17. tibert

  tibert Member

  #276
  Jun 28, 2016
  Joined: Jun 11, 2016
  Messages: 89
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 25
   
 18. KikulachoChako

  KikulachoChako JF-Expert Member

  #277
  Jun 28, 2016
  Joined: Jul 21, 2013
  Messages: 14,095
  Likes Received: 11,582
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 19. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #278
  Jun 30, 2016
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 23,898
  Likes Received: 71,405
  Trophy Points: 280
  Iko poa sana
   
 20. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #279
  Jul 6, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 21. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #280
  Jul 7, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,900
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...