Manyabuluba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 371
- 379
Tupia pamba za maana kulingana na mazingira
Yap jamaa anajua, naona ametupia Brands tupu...hapo juu na shati yake ya Tommy chini kati kadeti ya Dockers chini kamaliza na Travolta..hapo mkonon km sikosei hiyo ni Casio edifice.Yupo vizuri au unaonaje
Jeans ndo inanoga sana km mtu hupendi kuchomekeaYap jamaa anajua, naona ametupia Brands tupu...hapo juu na shati yake ya Tommy chini kati kadeti ya Dockers chini kamaliza na Travolta..hapo mkonon km sikosei hiyo ni Casio edifice.
Kweli ndugu, ukipiga jeans Kali ya Levis au Wrangler..juu shati/t-shirt kali then na kaunyunyu kwa mbali hapo Hugo boss au Black Xs ya Pacco rabbane.Jeans ndo inanoga sana km mtu hupendi kuchomekea
Jeans ndo kila kitu kwa wajanja.....mi navaa suruali ya kitambaa na kuchomekea ninapoenda ofisini ,kanisani na kwenye sherehe tuKweli ndugu, ukipiga jeans Kali ya Levis au Wrangler..juu shati/t-shirt kali then na kaunyunyu kwa mbali hapo Hugo boss au Black Xs ya Pacco rabbane.