Daraja lakatika Kigamboni wananchi wanahaha

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH:

-------
Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano

Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya ambalo bado ujenzi wake haujakamilika baada ya lile la awali, kukatika.

Hiyo ndiyo njia ya kwenda kisarawe 2 pia

Ova
 
Hilo daraja kila mvua kubwa ikinyesha lilikuwa linafunikwa na maji. Serikali iliamua kujenga jipya bahati mbaya ndio limekatika kabla ya jipya kuisha.
 
Sio njia pekee hata hvy sio njia ya kipaumbele hasa kwa mtu anayetoka ferry. Njia ambayo wengi wanatumia ni Kibada mkuu.
Kiongozi, hio ndio njia ya kwenda Muongozo,Dege,Mbutu,Cheka, Avic town hadi Kimbiji. Sasa hawa wote wameathirika. Kwa wanaojua hapo Muongozo kuna njia inaenda hadi inaungana na ile barabara ya Kibada-Mwasonga hii bado haina lami na mvua hizi kwa gari ndogo ni changamoto. Au warudi hadi Mwembe mdogo napo kuna njia inakwenda hadi kuungana na barabara ya Kibada-Mwasonga.
 
Hio ni njia ya Kigamboni-Mjimwema-Kibugumo-Geza-Muongozo-Dege-Cheka mpaka Kimbiji. Daeaja limekatika kati ya Muongozo na Dege.
Bongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.

Majina ambayo ukiyatamka yanaleta ladha kinywani.

Sasa Kibugumo, Geza, cheka ndo nini sasa?

Isitoshe kuna Mapinga, Udindivu, Kisuji, Mburahati, Boko, Bweni, Ubungo, Madale, Salasala, Mbauda, Chanika W.T.F?

Ni Oysterbay tu ndo imetuokoa.

adriz de mbusii
 
Huna kwenu?
 
Kigqmboni kuna majina yq Kizaramo. Kuna sehemu inaitwa Mwanzo Mgumuu ingine inaitwa Vumilia Ukooni 😀😀😀
 
Bongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.

Majina ambayo ukiyatamka yanaleta ladha kinywani.

Sasa Kibugumo, Geza, cheka ndo nini sasa?

Isitoshe kuna Mapinga, Udindivu, Kisuji, Mburahati, Boko, Bweni, Ubungo, Madale, Salasala, Mbauda, Chanika W.T.F?

Ni Oysterbay tu ndo imetuokoa.

adriz de mbusii
Kila kitu unataka majina yawe ya kizungu..
Nigeria hapo Abuja kuna sehemu asokoro na maitama kuna ma mansion ya kufa mtu na watu muhimu,diplomats wanaishi huko

Ova
 
Back
Top Bottom