DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

Nasubiria kuona sasa maamuzi ya wazee wa kigoma dhidi ya kiongozi mkuu wa bunge.
 
Tujikumbushe baadhi ya nukuu...

" Ndugai wakileta vurugu whuko Bungeni wewe pambana nao, wakitoka nje ya Bunge mimi nitapambana nao pia "
Kwa kuongezea alisema hiyo technic unayotumia endelea nayo ukiwafukuza huko bungeni hata mwaezi mmoja lazima wataropoka tu na mimi nitadeal nao huku uraiani kwa kuwa bungeni wana kinga
 
Umekwepa ajari
 
Had mwaka uishe , msukuma atakuwa amewakamata wabunge wote wa upinzani achilia mbali kuwamiminia risasi. Msukuma hana ubinadamu kwa kweli
 
Yani madereva wanatumwa usiku kwa usiku kuja kumbeba mtu mkuu mkuku utadhani gaidi kumpeleka Dodoma kwenda kuhojiwa tu na kamati ya bunge na wala siyo mtuhumiwa wa jinai yoyote ile....
Hii nchi sasa sijui tunaelekea wapi
 
Reactions: BAK
Misuse of public funds and endangering of human lives. Dereva afike dar saa nane usiku halafu alfajiri aanze safari ya kurudi Dodoma. Likitokea la kutokea, tuanze kusema bahati mbaya ama ni mpango wa Mungu! Mawee!

Zitto abaki na msimamo wake!
 
Hahahahaha lol! Mkuu tusi kubwa hili hili tusi kubwa? Au tusi kubwa "tusi kubwa"?
Umenichekesha sana Mkuu,

 
Hahahahaha lol! Mkuu tusi kubwa hili hili tusi kubwa? Au tusi kubwa "tusi kubwa"?
Umenichekesha sana Mkuu,
Si kwamba anaosema hawawashi kwa kuwa hawamsemi hawana la kusema ila wamegeuka samaki ambaye pia hakosi la kusema ila maji mdomoni ndiyo sababu ya kutosema!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…