Dar: Yaliyojiri Kuagwa kwa Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi

Mengi mtanzania pekee tuliyejivunia utajiri wake
Mtanzania pekee aliyetuwakilisha katika list ya mabilionea
Hawa wengine hawatabiriki

Mungu akulaze mahali pema peponi
Kweli kabisa. Hata juzi juzi alipotangaza kuanzisha viwanda vya simu, kompyuta na kuunganisha magari nilifurahi sana kama vile ni mafanikio yangu binafsi . Ni mategemeo walioachiwa wataendeleza ndoto hiyo kukamilisha mafanikio haya ambayo ni kama makubwa kabisa katika historia ya Tanzania
 
Back
Top Bottom