Dar: Yaliyojiri Kuagwa kwa Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi

Pesa inachangia namna utavyoondoka lakini sio kigezo pekee ushiriki wako pia katika jamii, umaarufu wako na pengo lako ndani ya jamii vinachangia sana.

Mfano japo Mo Dewji na Rostam wote wanapesa udhani kama siku zao zikifika zitapokelewa sawa. Unategemea msiba wa Mo kuwagusa wengi kutokana na alivyowekeza kimahusiano kwenye jamii, wakati Rostam kimya kimya tu.
 
Ni Rais wawili tu leo wakiaga dunia wanaagwa hivi..
Mwinyi na Kikwete tu
Mhhh saaana wazaramo watajazani kuhemea pilao, wengine ni wale walamba viatu wao na mafisadi,wanyonge na walioonja utengwaji kamwe hawatashiriki.
 
Back
Top Bottom