Dar: Yaliyojiri Kuagwa kwa Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi

Namuona Makonda hapa anahutubia Kama mlevi kwenye Msiba wa Mzee Mengi.....Anaropoka tu. Mara "Mungu awaheshimu Viongozi wa Dini". Mara "Mengi ni mchaga wa kwanza Kutoa hela ya kusaidia Walemavu"!!! Kwakweli haeleweki huyu jamaa. .....Anayeweza Kupakia video yake hapa itakuwa murua sana.

R.I.P mzee Mengi.
 
Back
Top Bottom