DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Captain Morgan, Jack Daniel, and John walker (keep walking) --all four labels-ie Black, Blue, Green, and Red. Seven bottles in total

gordons dry gin isikosekane lol!
back to the topic, kuna memba ameomba tufanye tarehe 26 a week later je unaafiki hii tarehe?
 
KWI KWI KWI! at least mmenipa a reason to laugh! nakuja katika mapana na marefu yangu, ni bata mwanzo mwisho! happy new year marafiki!
 
Mnaanza lugha wizi na za mashemeji wa mapresidaa??

huna lolote lile lol!
sasa mbona sijaona watutukijadili ishu za msingi hapa?

je tarehe iwe ipi?, venue je mbona sijaona commitment yako na Asprin?
la maana nililoona hapa ni Superman kuwalipia wadada 5 tu.

hebu kuwen siriaz bana semen.
 
Last edited by a moderator:
gordons dry gin isikosekane lol!
back to the topic, kuna memba ameomba tufanye tarehe 26 a week later je unaafiki hii tarehe?

good gfsonwin...its Ok for me. Between 19th to 29th. only. any recommended date will be convenient. Let my Thando comment as well......
 
Last edited by a moderator:
KWI KWI KWI! at least mmenipa a reason to laugh! nakuja katika mapana na marefu yangu, ni bata mwanzo mwisho! happy new year marafiki!

ww mwanamke kwanza wasiliana na snowhite mpange juu ya menu.
sijui nani atumike kupokea michango naona uwe wewe.
 
Last edited by a moderator:
huna lolote lile lol!
sasa mbona sijaona watutukijadili ishu za msingi hapa?

je tarehe iwe ipi?, venue je mbona sijaona commitment yako na Asprin?
la maana nililoona hapa ni Superman kuwalipia wadada 5 tu.

hebu kuwen siriaz bana semen.
Kuhusu venue naomba nifanye utafiti ntakuja na jibu shortly!
 
sitaki majaribu wangu, na mama wa kighana kapandisha ada! hapa nna mpango wa kufungua danguro, labda litanilipa!

hahahaha! haya sasa je nani apokee michango? ila lazima uwe kwenye kamati ya menu ww na snowhite
 
Last edited by a moderator:
sitaki majaribu wangu, na mama wa kighana kapandisha ada! hapa nna mpango wa kufungua danguro, labda litanilipa!
Ahaaaa nimekumisije????niambie huko uliko unampango wakurudi??hivi karibuni??...danguro...la watu gani mean utaifa na mimi nije nijichukulie mmoja!
 
Back
Top Bottom