mie je!utanijua tu!snowhite hata mie nimekumiss sana tu my shostito! Muda mwingi nimeutumia kufuatilia sinema moja hivi sijui ni jukwaa gani. Yaani ni tamu sana alkini ina parts nyingi sana na stalingi wake anaboa maana anatokea na kupotea! Tena bora nimekumbuka ngoja nikachungulie kama imeanza tena. Ila best ujue tu kuwa hata kama kutakuwa hakuna kujitambulisha mie ntafanya kila ntakaloweza nikufahamu physically.
sitaki majaribu wangu, na mama wa kighana kapandisha ada! hapa nna mpango wa kufungua danguro, labda litanilipa!
Mimi naona mpaka jioni kilakitu kitakuwa kimepata ufumbuzi hapa naona watu mawazo wameyatanguliza kwenye mihadi kuwa siku hiyo ntakuwa na ninliyu!!baada yakujua niwapi ifanyika je ninani apewe michango!!ila kuhusu wapi ifanyike nitawasiliana na Asprin na gfsonwin Mtambuzi na Madame BKakaKiiza mie nimemshauri teacher aweke njia kufikisha michango bado hajafanya hivyo. Unajua watu wakianza kuchangia ndio itaonekama huu mpango ni wa uhakika.
Superman nafas zimejaa ama bado?
Poa (just to note am a SHE):glasses-nerdy:
mie je!utanijua tu!
basi twende pm kwanza tukajadili kisha ndo turudi hapa.Mbili zimechukuliwa bado tatu sasa.
Vipi venue ya British Council? Au Ambassadors Lounge? Or May be Club 327? The Finest anatakiwa hapa!
Kabla ya kumwamini awe Mweka hazina wetu, hebu jaribu kumuuliza Kama ameshawalipia Ada za Shule watoto wake na Kodi ya Nyumba..........Risk hii. (.......Jst a JOKE.......)
haya hii hapa ndio kamati yenyewe kwaajili ya maandalizi
logistics gfsonwin na mwaJ
uhazini Mtambuzi
event planning and mgnt lara 1 na gfsonwin
menu cacico na snowhite
venue KakaKiiza na Asprin Madame B
vinjwaji Watu 8, figganigga na Madame B
Madame B kawa maeneo mawili nyeti kwajili ya ushapu wake na kujitolea kwake.
hahhahhhhahhaha! yaani nimecheka mpaka wanangu wamecheka lol!
Umesomeka mediator!haya hii hapa ndio kamati yenyewe kwaajili ya maandalizi
logistics gfsonwin na mwaJ
uhazini Mtambuzi
event planning and mgnt lara 1 na gfsonwin
menu cacico na snowhite
venue KakaKiiza na Asprin Madame B
vinjwaji Watu 8, figganigga na Madame B
Madame B kawa maeneo mawili nyeti kwajili ya ushapu wake na kujitolea kwake.