DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

ila white jamni hainogagi kwa sie ma black beauty!!!!!!!! Lol! Jamni hii code ifikiriwe upyaaaa!!!!!!!!! Mi ntavaa green kwa kweli!!!!!! Sasa bila kijifanya unique mtanijuaje!!!!!!!!
mi sivai kitu kabisa na joto hili lote dar? Nivae ili iweje? Tuache miili ipumue
 
halafu wewe kwa ukaribu wako na town a(aaaaaaah shit kumbe uko mbpnde........lol!) ila nataka wewe na cacico mshughulikie menu na iwe ni bomba msosi bomba wa bei nzuri

unanichimba naona!ahahhahahahhahahhahahha ilishakuwa story!
 
Hio ni fair trade! I promise! Nikichangia Party Mungu hanibariki but nikichangia JF its a charitable act!


This is one of the reason why lara 1 is always top of the line. Ukitoa Mungu anakubariki!

Also: Read my signature!

Stay blessed.
 
Last edited by a moderator:
pamoja sana mkuu.

Nakubaliana na yote kasoro hilo la kuvaa full white....isijeonekana chama cha wauza mabucha kimefanya party na sio JF membaz....na pia sio wote wanapendeza in full white....rangi zahisika hapa pia...ni mtazamo tu gfsonwin.....
 
Last edited by a moderator:
Superman, nilivyo mwoga nitaweza kweli kuamua ugomvi wako na gfsonwin? Mnh! Si utafanya nilazimishe kutumia vile vibusara uchwara vya kuokoteza ili niwe mediator wenu? Kwanza inabidi nijue chanzo cha ugomvi ni nini? Nani amesababisha ugomvi n.k ndio ntakuja ku-mediate.

Mi ugomvi sijui wala ni wa nini. Labda gfsonwin anajua mwenyewe.

Halafu kila wakati Smile anasema nikusalimie toka ameona uzi ule wa Basidei. So, mi nafikisha salamu!
 
Last edited by a moderator:
wana CC haya tena happy new kwa mara nyingine tena mabestito.
sasa kama isemavyo hapo juu, napenda kuwakumbushia kwamba last time tulipokutana LEO TUPO HAPA PUB tulikubaliana kwamba tutaukaribisha mwaka pamoja hapa Dar kama sehem ya kuendeleza undugu na umoja wetu.

sasa nafikiri Jan ndo hii, na hivyo tunahitaj kujipanga ili kufanikisha hii party. sasa hapa nakaribisha michango ya mawazo yenu juu ya kaufanikisha jambo hili.

yufuatayo ni mawazo ya serikali ya kichwa changu juu ya hii party sasa naomba tujadiliane vyema ili kuona tuaipanga vipi.

1)nafikiri kila memba atoe mchango wake ili siku hiyo aweze kula na kunywa huku tukkiserebuka. niliwaza hivi kama kila memba atakaye confirm kushiriki akitoa 20000/= basi aweze kupata sahan ya menu na vinywaji at least 2 local beers. hapa naomba msaidie mawazo nimetengeneza tu plat form.

2)Tutafute venue ambayo tutacheza na kajimziki kidogo huku tukiendelea kufuraia mwaka na kazi ya kutafuta venue hapa nitawaachia Asprin na KakaKiiza wao ni wazee wa mji zaidi.

3) tarehe ya makutano yetu iwe ni tarehe 19/01 wazo tu ila kwa anayetaka kupropose tofauti unakaribishwa.
4) kwa watakao confirm kushiriki basi kuna added task watakayopewa kuifanya kwa mwaka mzima kwajili ya wana jf wenzao na hii ni strictly kwamba baada ya mwaka watatakiwa kurudisha amana. ( hapa nisifunguke zaid manake snowhite kasema iwe ni suprise)

5) kwakua ni mwaka mwingine basi tungeweza pia kukaribisha memba wa wing nyingine kujumuika na sisi ila huyu yeye atakuja na nauli yake na mahal pa kulala ila kula na kunywa sisi tutampatia.

Haya mm nimetoa mawazo haya naoamba wengine mchangie ili kuweza kufanikisha siku hiyo.

Nashukuru kwakukumbusha ila sina tatizo na hili gfsonwin ila je unaonaje ikafanyika friday ya tarehe 25??Maana ukweli na jua nahizi siku kuu watu watakuwa hawajajipanga japo sikazi yangu kuwasemea naomba nijisemee kuwa mimi binafsi nitakuwa sijajipanga kwa tarehe hiyo!!Ila na muomba Madame B, Asprin na gfsonwin Zion Daughter Watu 8 amu na dar wingi ambao mtahamasika!!ila wewe Smile unataka kutuchekesha kwani tanga ulikuwa unakunywa togwa??na zile turske??BTW wote wanaopenda watoe pendekezo!

CC Asprin, KakaKiiza, Madame B, cacico, Mtambuzi, watu8, fidel180, amu, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Zion Daughter, Paloma, snowhite, Bishanga, Superman, KakaKiiza, Smile, Mentor, Mbimbinho, Billie, manoah, Prisoner 46664, lara 1 Ciello Thanda, Thando, Mwita Maranya ET AL

NB; uvaaji utakuwa ni wa nguo nyeupe kuonyesha furaha na umoja wetu.

Nashukuru kwakukumbusha ila sina tatizo na hili gfsonwin ila je unaonaje ikafanyika friday ya tarehe 25??Maana ukweli na jua nahizi siku kuu watu watakuwa hawajajipanga japo sikazi yangu kuwasemea naomba nijisemee kuwa mimi binafsi nitakuwa sijajipanga kwa tarehe hiyo!!Ila na muomba Madame B, Asprin na gfsonwin Zion Daughter Watu 8 amu na dar wingi ambao mtahamasika!!ila wewe Smile unataka kutuchekesha kwani tanga ulikuwa unakunywa togwa??na zile turske??BTW wote wanaopenda watoe pendekezo!

Nakubaliana na yote kasoro hilo la kuvaa full white....isijeonekana chama cha wauza mabucha kimefanya party na sio JF membaz....na pia sio wote wanapendeza in full white....rangi zahisika hapa pia...ni mtazamo tu gfsonwin.....

hapana sijasema full white jamani mkaka unaweza kumix ila white iwepo lol!
 
Ila white jamni hainogagi kwa sie ma Black Beauty!!!!!!!! LOL! Jamni hii code ifikiriwe upyaaaa!!!!!!!!! Mi ntavaa green kwa kweli!!!!!! Sasa bila kijifanya UNIQUE mtanijuaje!!!!!!!!

...........hebu jaribu hii kitu, nina imani utatambulika tu
lady-gaga-white-layered-dress-brit-awards-2010.jpg

Almradi usitofautiane na sisi wa white.
 
we mtoto wa kike nakumisije sasa!mwe
jamani gfsonwin mpenzi si upitishe bakuli nipate umeme mie!ah!
snowhite hata mie nimekumiss sana tu my shostito! Muda mwingi nimeutumia kufuatilia sinema moja hivi sijui ni jukwaa gani. Yaani ni tamu sana alkini ina parts nyingi sana na stalingi wake anaboa maana anatokea na kupotea! Tena bora nimekumbuka ngoja nikachungulie kama imeanza tena. Ila best ujue tu kuwa hata kama kutakuwa hakuna kujitambulisha mie ntafanya kila ntakaloweza nikufahamu physically.
 
Last edited by a moderator:
Mi ugomvi sijui wala ni wa nini. Labda gfsonwin anajua mwenyewe.

Halafu kila wakati Smile anasema nikusalimie toka ameona uzi ule wa Basidei. So, mi nafikisha salamu!
Superman nashukuru kwa salamu. Smile asante pia kwa kupitishia salamu zako kwa Superman zimefika kama ulivyomsoma.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaha! umenivunja mbavu lol!
haya wewe utuletee gin &tonic manake mfuko wetu hautaruhusu lol!(joke)

Captain Morgan, Jack Daniel, and John walker (keep walking) --all four labels-ie Black, Blue, Green, and Red. Seven bottles in total

 
Back
Top Bottom