DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Paloma shost yule msimulzi bado anaendelea na haijaisha ndo kwanza imefikia robo tatu.
 
Last edited by a moderator:
Well, on serious note, Tarehe 19/01 Sitakuwa available. Tarehe 25? Damn kalenda yangu inanionyesha tarehe 25 itakuwa Ijumaa siyo? Sitakuwa available. Ila Jumamosi tar 26/01 ntakuwa available kuanzia saa mbili usiku mpaka Liamba.

Anayenitaka hiyo siku anyooshe kidole juu.
haya another suggestion?????????
hapa Madame B, Paloma, Smile cacico Watu 8 snowhite KakaKiiza hebu njoon mseme jamani mm niko available mwez huu wa kwanza tu
 
Last edited by a moderator:
madame B , nipo hapa getini nimekuletea zawadi zako. Ila usitoke kwanza, hadi ujibu hili, kwani tarehe 25/1 unataka ku kwepa?

Daaahhhhhhh......... naenda tolewa Posa Makuyuni mie.
Ila ngoja nifanye makeke.
 
Poa Poa Mheshimiwa Jaji. Kama vipi ile $ 800 nitumie. Baadaye naenda kumwona Smile. Kama vipi ajipange upya!

Le Mutuz; Le Baharia!

Haina kwefere...ntatumia ile service mpya kama vipi you know.....

Mbeb Smile inabidi ajipange maana bongo tambalaleeeeeez
 
Kwa wale watakaotaka kuwasilisha michango yao watume kwa Tigo Pesa kwa namba hii +255 715 729292 na wasisau kutuma na majina yao nisije nikachakachua FUND......LOL

Kwa wale watakaotaka kuiwasilisha moja kwa moja kwangu wafike katika Hoteli ya Dar es Salaam Serena kwenye kijiwe changu cha Kahawa, wanipigie simu wakati wanakuja ili niwapokee.

Ni vyema michango ikawahishwa kwa ajili ya maandalizi............

Nawasilisha.

Noted with thanks...!!!!z
 
Mwl gfsonwin japo ningependekeza hiwe tareh 26, lakini kama wengi wamechagua hiyo tareh 25 bila shaka ntajua cha kufanya nisikose!

Hapo kwenye mweka hazina( Mtambuzi) pametulia, naomba atoe utaratibu wa kutoa michango. na

kamati yote nimeikubali na hapo kwa mc lara 1 pametulia pia, Napendekeza deadline ya kupoke michango kuwa tareh 20.

Muda wa kuanza shughuli napendekeza saa kumi jioni lakini siyo ya kitanzania.

(Tafadhali azam cola zisikose)
NB: Maneno yangu si sheria!
 
Last edited by a moderator:
Haina kwefere...ntatumia ile service mpya kama vipi you know.....

Mbeb Smile inabidi ajipange maana bongo tambalaleeeeeez

Haaaa haaaa ile Service mpya ya kuleeeeee! Haaaaa haaaaa

Kama vipi Mbebs Smile asitoke leo basi ahairishe mitoko yote nimkute. Una meseji yoyote.

Le Big Show@DSM you know! King of all Bongo Social Networks!
 
Last edited by a moderator:
Mwl gfsonwin japo ningependekeza hiwe tareh 26, lakini kama wengi wamechagua hiyo tareh 25 bila shaka ntajua cha kufanya nisikose!

Hapo kwenye mweka hazina( Mtambuzi) pametulia, naomba atoe utaratibu wa kutoa michango. na

kamati yote nimeikubali na hapo kwa mc lara 1 pametulia pia, Napendekeza deadline ya kupoke michango kuwa tareh 20.

Muda wa kuanza shughuli napendekeza saa kumi jioni lakini siyo ya kitanzania.

(Tafadhali azam cola zisikose)
NB: Maneno yangu si sheria!

haya tutajadil hli sote na wadau wengine
 
Kungwi gfsonwin mbona yule mutu haji kule? Mi namsubiri bado! Kama vipi mi naondoka zangu.
 
Hata mie napendekeza tarehe 26 ili nitoke huku na basi alfajiri by 2100hrs niwepo..... Si mnajua tena MKOLONI ana machungu January hii...... Hata ukiugua utalazimika kuja job tu!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Haaaa haaaa ile Service mpya ya kuleeeeee! Haaaaa haaaaa

Kama vipi Mbebs Smile asitoke leo basi ahairishe mitoko yote nimkute. Una meseji yoyote.

Le Big Show@DSM you know! King of all Bongo Social Networks!

Hujamalizia hapo bana....ni King of all social network media:becky:
 
Kungwi gfsonwin mbona yule mutu haji kule? Mi namsubiri bado! Kama vipi mi naondoka zangu.
kamnyama kamekata kona bestito.
kaliona njia ni ndefu halafu kuna kajimlima ka kupanda, kakaona bora kakate kona kaangalie njia nyepesi isiyo na vilima akasahau ni bora mlima unaouona kuliko usioujua lol!
 
Hata mie napendekeza tarehe 26 ili nitoke huku na basi alfajiri by 2100hrs niwepo..... Si mnajua tena MKOLONI ana machungu January hii...... Hata ukiugua utalazimika kuja job tu!!!!!!!!!!!!!!

sawa mrembo nimekusoma
 
Duh! Afadhali. Hakika Mungu si Athumani. Ungeniharibia sana!
Heheheheh! Kudagadeki maadam mwanaizaya weye tena mwana mtoka pabaya utakuwepo, basi sina budi na sina jinsi ntalazimika kutia timu. Nisopokuwa makini utaniharibia wajukuu zangu hivi hivi nikiwa na nguvu zangu.

haya another suggestion?????????
hapa Madame B, Paloma, Smile cacico Watu 8 snowhite KakaKiiza hebu njoon mseme jamani mm niko available mwez huu wa kwanza tu
Yeah, vigezo na masharti vizingatiwe. Ijumaa ni siku ya kazi na kwa wengine pia Jumamosi ni siku ya kazi. Imagine utoke kupiga mtungi, afu ukakague kabinti kama amu au Paloma then kesho tena umpelekee mkoloni makalio.... Nani anataka mastarehe ya mashaka??? Bila kujalisha tarehe, ODM anapendekeza siku iwe Jumamosi ili jumapili tudamkie makanisani kutubu zambi za uzinzi na Mungu atusamehe na kuturehemu:becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom