Acha longolongo weye, njoo mjini huku tule bata! Maisha mafupi haya!
Khee maswali mengine bana............ Tarehe 8/8/2011 niliigida pale Marangu wakati nasubiri muda ufike nichape mwendo kuja kwa wazaramo huku......huyo bata ackose kimezeo(mbege+nyagi)...kaka umeshawahi kumix hiyo ki2, chaaa ote kabisa, haisemekii kwa utamu....unaniudhi 2 cku hizi unaitelekeza mila, cjui miller/ndovu malt...unaniudhi ujue....mara yako ya mwisho kunywa mbege ni lini?
Arusha bomba ila uchafu na mpangilio mbaya wa mji ndio vinanikera. Otherwise ni sehemu nzuri ya kuishi
Mji wa Kilimanjaro ndo upi? Mwanga, Same, Himo, Bomang'ombe, Useri, Tarakea au?miji ye2 mingi ni michafu, kila nilipozunguka pote papo hovyo 2 kasoro Kilimanjaro, cjui mingine ambayo cjafika hivi karibuni kama imebadilika!
Mji wa Kilimanjaro ndo upi? Mwanga, Same, Himo, Bomang'ombe, Useri, Tarakea au?
Hahahaha....hommie, mshiki katoka povu mpaka anachanganya mambo LOL......Anamaanisha Moshi na wewe hommie husomi kati kati ya mistari?
uMji wa Kilimanjaro ndo upi? Mwanga, Same, Himo, Bomang'ombe, Useri, Tarakea au?
hapo tu ndio watu wa dar mnaponiachaga hoi...wengine tunatafuta maisha na sio maujanja, mnajifanyaga wajuaji/wajanja kupita maelezo, yaani mnajionionaga na hilo jiji lenu kwamba ndio mmeyakamatia maisha....kuna mmoja nilimtimua pale mkulima juzi kati kwa majidai hivi hivi, kwamba katokea dar na blah blah kibao, upuuzi mtupu! kama mie ntaishi mikoa yote tz kasoro dar.....
Nyamayao umemaliza,hakuna mkoa nisioupenda kama Dar! Sijui kwanini wanaoishi huko wanaona kuwa wanaishi eden!
aisee dar masharobalo na wauza sura wananikera kinoma,arusha nyeusi ngumu hadi wasichana..
Jamani njoo tuongelee dar baharini na watoto wazuri huku tunakula bata.
huu ndo ushamba wa arusha naoupinga!ugumu ndo nini sasa wewe muoza meno!
Kwa USHAMBA DAR MKOO JUU,ukianzia na tabia yenu ya kulea mafsad,uchoko,uswahili yaan daily mnaishi kama jana,yaani apo dar ni f**a no wonder mafsad na washamba wote wanataka kuish uko.Arusha michongo ya ela ipo juu yaan unapga dil unashka ela ndefu na co faida za jero jero,unapata watoto wazur natural na machz rjal co wa2mia mikorogo kama kaka mkuu wenu NAPE.Aisee acha niishie apa wadar ni wachache sana wenye unaweza fanya nao mbishe kama kwel unataka gud tym njoo rchuga unapata uwakka wa future
Wewe utakuwa uliporwa demu wako na Masharobalo si bure