Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Umenena vyema mkuu. Watanzania hii ni awamu mpya.Matatizo mengine ni ya kujitakia. Tujifunze kuheshimu sheria na taratibu halali.
YAANI WEWE JAMAA ULIYO COMMENT NI DHAHIRI UNAONEKANA HADI SASA UNAISHI KWA SHEMEJI NA UNAMTEGEMEA SHEMEJI AMBAE ANAKUWEKA HAPA MJINITatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike
Endelea na "Uchungu wa kujenga" wakati tingatinga likisafisha buguruni.YAANI WEWE JAMAA ULIYO COMMENT NI DHAHIRI UNAONEKANA HADI SASA UNAISHI KWA SHEMEJI NA UNAMTEGEMEA SHEMEJI AMBAE ANAKUWEKA HAPA MJINI
NDIO MAANA UCHUNGU WA KUJENGA NYUMBA NA KUBOLEWA HAUJUI KWA SABABU BADO UNAISHI KWA SHEMEJI
Siasa imetudumaza sanaTatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike
Kuna msemo usemao kuwa uyaoneee tatizo WEWE blessings unazungumza hivoo kwa sababu hadi sasa unaonekana maisha yako BADO ni tegemezi upo kwa wazazi na unakula kwa shikamooWabomoe kote, ili tuheshimu sheria. Hakuna kubembelezana awamu hii.
Ni umasikini tuuNzuri sana.....
Hivi unaanzaje kujenga kwenya hifadhi ya barabara au reli..?
Sheria ifuatwe ama nakaa kwa shemeji au kwa wazazi. Wabomoe bila kusita tena wakifurahi kuwa wanatimiza sheria halali.Kuna msemo usemao kuwa uyaoneee tatizo WEWE blessings unazungumza hivoo kwa sababu hadi sasa unaonekana maisha yako BADO ni tegemezi upo kwa wazazi na unakula kwa shikamoo
Ila ungekuwa mtafutaji usingezungumza haya maneno
BuguruniTazara au Buguruni?
Kwa kila tofali linalodondoka kuna kaliba inaathirika na kujenga chuki ambayo humea na kuzaa visasi na malipizi[HASHTAG]#pombesiochai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#daudialbertbashite[/HASHTAG]