Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Ajal iltokea majira ya saa tisa alasr maeneo ya mto matandu ambapo shughul za ukarabati wa barabarani znafanyika . Chanzo ni mwendo mkal, ambapo gar liliacha njia na kuingia ktk calvat. Daily route ya bus ni dar lindi mjn to nachingwea, awali lilikuwa dar kilwa masoko

Pole sana kwa msiba

Basi ndo hilo hapo brother
 
Poleni sana mkuu, Kazi ya Mungu haina makosa. Lakini hili basi la Baraka kwa ninavyofahamu huwa halifiki Mtwara linaishia Lindi tu.

Anyway Mungu awatie nguvu kwenye wakati huu mgumu.
 
Bro mimi mwenyewe sifahamu usafiri wa huko. Inaoneka kuna kuunga safari kwa usafiri mwingine. Lindi na Mtwara wapi pako mbele utokeapo Dar?
 
Lindi ipo karibu zaidi, Mtwara to Lindi ni kama Km 105 hivi. So ni kweli probably alikuwa anataka kuunganisha labda aliondoka Dar late sana. Poleni sana mkuu, msihuzunike sana sote njia ni hiyo hiyo.
 
Inawezekana ilikuwa hivyo. Moyo hauna spare ndugu yangu ashatutoka tunamwachia mungu.
 
Attachments

  • 1445527463905.jpg
    1445527463905.jpg
    48.4 KB · Views: 208
Gari la halmashauri wilaya ya Nanyumbu likiwasili kwa babu yetu ambapo ndipo sehemu maalumu iliyochaguliwa akapumzishwe. Picha ya mwisho ni Mkuu wa msafara akiwaeleza ndugu mazigira ya kifo na mali alizoacha marehemu na taratibu za kuzipata. Huyo anayesoma historia ni Mkuu wake wa kazi marehemu akielezea namna ilivyokuwa.
 
Attachments

  • 1445527652652.jpg
    1445527652652.jpg
    61.3 KB · Views: 188
  • 1445527689869.jpg
    1445527689869.jpg
    94.5 KB · Views: 182
  • 1445527731098.jpg
    1445527731098.jpg
    53.3 KB · Views: 172
  • 1445527763255.jpg
    1445527763255.jpg
    88.8 KB · Views: 162
  • 1445527810451.jpg
    1445527810451.jpg
    67.2 KB · Views: 137
  • 1445527867226.jpg
    1445527867226.jpg
    141 KB · Views: 136
Mungu wangu!Kumbe hii habari ya msiba uliileta wewe best yangu Ng'wanapagi?
Sikuwa nikifahamu hili,poleni sana.
 
Last edited by a moderator:

Usijali ndugu yangu ni mimi na ilitokea pasipo kujiandaa (hakuugua) nilikuta missed call na sms asubuhi jumapili kuwa amefariki kwenye ajali ya basi. Kila ndugu hakuamini hadi maiti ilipoletwa toka Mtwara na mbaya zaidi hapakuwa na direct contact kwani alifanya safari private siku ya weekend jumamosi. Kutokana na maelezo ya Mkuu wa msafara na Mkuu wake wa shule na baadhi ya abiria marehemu alikuta basi limejaa hivyo akaomba akae kwenye injini opposite na dreva!! Huyo aliyeko mkono wa kulia ndiye Mkuu wa msafara kutoka Nanyumbu na huyo mwenye shati nyeusi mkono mrefu ni mkuu wake wa kazi marehemu.
 
Attachments

  • 1445528756775.jpg
    1445528756775.jpg
    123.7 KB · Views: 166
Last edited by a moderator:
Bro mimi mwenyewe sifahamu usafiri wa huko. Inaoneka kuna kuunga safari kwa usafiri mwingine. Lindi na Mtwara wapi pako mbele utokeapo Dar?

Hilo bus ni la Dar - Nachingwea km alikuwa anaenda masasi ndo linapitia hapo. Pia kuna la Dar- Lindi. Pole sn mkuu. Sebha atugunane.
 
Usijali ndugu yangu ni mimi na ilitokea pasipo kujiandaa (hakuugua) nilikuta missed call na sms asubuhi jumapili kuwa amefariki kwenye ajali ya basi. Kila ndugu hakuamini hadi maiti ilipoletwa toka Mtwara na mbaya zaidi hapakuwa na direct contact kwani alifanya safari private siku ya weekend jumamosi. Kutokana na maelezo ya Mkuu wa msafara na Mkuu wake wa shule na baadhi ya abiria marehemu alikuta basi limejaa hivyo akaomba akae kwenye injini opposite na dreva!! Huyo aliyeko mkono wa kulia ndiye Mkuu wa msafara kutoka Nanyumbu na huyo mwenye shati nyeusi mkono mrefu ni mkuu wake wa kazi marehemu.

Pole sana Mkuu. Tuombe Mungu ampumzishe mahala pema. Awape ninyi na ndugu wote moyo wa uvumilivu na awafute majonzi.
 
Back
Top Bottom