Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
pole sana ndugu.
Pole sana kaka...mungu yupo nawe pamoja
pole sana ndugu.
Poleni sana
Mungu awafariji na awape nguvu katika kipindi hiki kigumu ndugu jamaa na wanafamilia katika kipindi hiki kigumuPolee sana kwa kuondokewa na ndugu yako. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa Amani
Pole sana mkuu kwa kupoteza ndugu, gari la baraka nalikumbuka sana gari la kwanza kutoka lindi saa 12asbu na kufika dar mapema , na la mwisho kuondoka linaondoka saa 8 mchana.
Pôle sana ndugu yangu Kwa msiba mkubwa Mwenyezi Mungu awafariji ktk kipind hik kigumu
Poleni sana Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu