Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Hilo bus ni la Dar - Nachingwea km alikuwa anaenda masasi ndo linapitia hapo. Pia kuna la Dar- Lindi. Pole sn mkuu. Sebha atugunane.

Ni kweli kulingana na maelezo ya mkuu wa msafara ilikuwa apande gari lingine baada ya hilo kuendelee Lindi. Nawashukru sana hapa JF kwani wengi wenu wamenifariji sana hasa privately.
 
Pole sana ndugu...
Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi
 
Basi lililoondoa uhai wa mdogo wangu hili hapa (Baraka Bus)

nimeshtuka sana!..nimetoka huko juzi tu,na binafsi huwa naamini njia hiyo huwa haina matukio ya ajali hivyo hata waliposema tufunge mikanda nilipuuza!...
Pole sana mkuu Ng'wanapagi
 
Last edited by a moderator:
nimeshtuka sana!..nimetoka huko juzi tu,na binafsi huwa naamini njia hiyo huwa haina matukio ya ajali hivyo hata waliposema tufunge mikanda nilipuuza!...
Pole sana mkuu Ng'wanapagi

Mipango ya mungu mkubwa wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom