Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
- Thread starter
- #101
Seba Agunhe lubango nkoyi. Shiminzaga mhola!
Wabheja wakokaya
Seba Agunhe lubango nkoyi. Shiminzaga mhola!
au ni ile ajali ya Bus la Baraka?
Nimepata sms asubuhi hii mdogo wangu amefariki kwa ajali ya basi lililokuwa linatokea Dar kwenda Mtwara. Maiti ziko hospital gani, aliyenipigia nimeshindwa hata kumuuliza sehemu ilipotokea ajali na jina la basi.
Hivi sasa simpati kwenye simu, simu ya bwana mdogo tangu jana haipatikani japo mchana akitoka Dar waliwasiliana na dada. Ma rafiki zake walioko Mtwara hata wao wanadai mawasiliano yalikata gafla.
Nisaidieni mlioko huko na tushamtuma dada yetu yuko njiani kwenda huko Mtwara na huku tukielekea stand kuanza safari.
Hapana bro ni kweli na hadi sasa walimu wezake wamedhibitisha ametutoka pia aliyetupatia taarifa hakuomba pesa na ametupatia hadi jina la basi na hospital ulipo mwili.
Pole sana
Pole sana mkuu..
poleni sana.
Dah!
Pole sana kiongozi
poleni sana maans sha nusa utapel
Poleni sana
Dah poleni sanaa wafiwa...
Aisee inaumiza, Mungu amuweke pema na awatie nguvu familia yake
So sad, Mungu akutie ng uvu Kipindi hiki kigumu