Hapana bro ni kweli na hadi sasa walimu wezake wamedhibitisha ametutoka pia aliyetupatia taarifa hakuomba pesa na ametupatia hadi jina la basi na hospital ulipo mwili.
Bwana mdogo wakati wa uhai wake (upande wa kulia). Kama naota
Baraka ni basi litokalo Lindi kwenda Dar na kurudi tena Lindi, haliendi Mtwara. Ni mini bus! R.I.P mdogo wetu!
Nashukru sana kwa kutusahihisha mie nilifikiri ni basi!! Asante sana CHAZA
Bwana mdogo wakati wa uhai wake (upande wa kulia).
Daah pole sn kaka Mungu awatie kw kusafiri na haya mabasi lazima roho ushikilie mkonon
RIP mwalimu. Weka jina la bwana mdogo mkuu. Mungu awatie nguvu na faraja wkt huu wa majonzi mazito. Polen sn