Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Duuu!! Mkuu bro amefariki akiwa na basi liitwalo: Baraka Bus, maiti iko Kilwa Kivinje Hospital wamefariki sita!! Nimempata kwenye simu aliyenijulisha ajali.

Pole sana kiongozi kwa msiba Mungu hamnusuru na adhabu za kabri
 
Poleni sana kwa msiba huu ,Mungu awatie nguvu muweze kufanikisha yote katika kumpumzisha katika Nyumba ya milele!
 
mkuu katika hilo basi hakuna mwanasiasa yoyote? ukiwasiliana nao jaribu pia kutuulizia kama kuna mgombea yoyote humo wa udiwani, ubunge na hata urais.

Ulitaka kumaanisha Kinana? Polen sana mkuu
 
Pole sana ndugu yangu, Mungu awafariji na kuwatia nguvu, huu ulimwengu siyo mahali salama kabisa kwetu sisi cha kufanya tumche Mungu kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa mioyo yetu yote na kwa roho zetu zote, Mungu ampumzishe ndugu yetu na wote waliofariki katika ajali hii amen
 
Ubarikiwe sana mtoto wa mungu.
 
pole sana kamanda...Mungu awatie nguvu kipindi hikikigumu
 
Hapana bro ni kweli na hadi sasa walimu wezake wamedhibitisha ametutoka pia aliyetupatia taarifa hakuomba pesa na ametupatia hadi jina la basi na hospital ulipo mwili.

Dahh Inaumiza Sana Mkuu.....inaumiza sana sana! Pole sana Mkuu...Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu! Mungubail
 
Back
Top Bottom