kisu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 1,004
- 381
Nasikitika na adhaa mnayopata, lakini project kama hii (comprehensive project), sio project mchwara ya masika na kiangazi tuu, ina cost pesa nyingi. Hapa tulipo umangani (Oman) wamefanya project babkubwa ya Muscat Wastewater Scheme, kama inavyoonyesha kwenye link yao. http://www.owsc.com.om/hayawater/projects.asp