Dar Tambarare: Mvua, mafuriko na Usahaulifu!

Dar Tambarare: Mvua, mafuriko na Usahaulifu!

Hii ni dalili nyingine ya kushindwa kwa uongozi ulio madarakani kupambana na tatizo hili la poor drainage system katika jiji la Dar. Wanaliona tatizo hilo miaka nenda miaka rudi lakini hakuna yeyote katika viongozi wa juu Serikalini aliyejaribu kulitafutia ufumbuzi wa kudumu.
 
Lakini hili ni wakazi wa jiji la Dar ambao wamezoea ubovu na uozo. Sidhani kama kuna mkoa wowote nchini ambao wakazi wake wako so content na status quo kiasi kwamba hawawezi na hawako tayari kufikiri nje ya sanduku walimo. Matokeo yake wamezoea ujanja wa kuishi na uchafu.
 
Uongozi wa mkoa na nchi kwa ujumla umeonesha kushindwa kabisa! Miundo mbinu ya dar mingi ni ya zamani, planning ya mji ni ya zamani sasa unategemea nini? Jiji linaendelea kupanuka wakati miundombinu mingi iko vilevile. Wanalazimisa kujenga majengo marefu yenye maofisi/nyumba kibao kwa kutegemea miundombinu na planning ya miaka ya sitini! Matokeo yake ndiyo hayo mafuriko ya mvua ya saa moja. Hiyo mijengo wanayojenga maeneo mengi ya jiji inablock mikondo ya maji hivyo kusababisha maji kutuama! Wazee wa jiji nao kazi yao ni kufuzana na machinga wanasahau kuwa kuna kuzibua mifereji ili wakati wa mvua maji yaweze kutiririka inavyopasa...
 
Scientist.. yaani hiyo observation yako wenzio wanayo kwa karibu miaka 20 sasa. Wanayo master plan na madubwasha yote; wanajua mitaro inatakiwa kupita wapi na wanajua kabisa nini kinahitajika kufanyika. Si na wenyewe wanaishi na kuendesha magari yao kwenye jiiji hilo hilo?

Guess wanasema nini siku kama ya leo?

"Haya marufiko Dar yataisha lini?" wanajiuliza huku wakikenua menu kwenye magari yao yaliyopandishwa vioo juu huku bendera ya nchi tuipendayo ikishindwa kupepea baada ya kutota kwa maji ya mvua.

Dereva wa mtukufu huyo huwa anabakia na kusema "sijui mzee"...lakini moyo anachowaza siwezi kuandika... ila kinaendana na neno la zamani la "punda na shimo!" ila lile la Kiswahili!
 
hii topic ni kama ile tulikuwa tunaongelea kuhusu barabara tatu. kusolve hizi issues za planning tunaitaji full commitment from central government... nothing else... water Drainage and supply systems haziwezi kufanyika kama government haitakuwa tayari kupriotise vitu vya maana na kuacha kuiba hela za misaada italewayo kwa ajili ya hizi projects.
 
Hii ni dalili nyingine ya kushindwa kwa uongozi ulio madarakani kupambana na tatizo hili la poor drainage system katika jiji la Dar. Wanaliona tatizo hilo miaka nenda miaka rudi lakini hakuna yeyote katika viongozi wa juu Serikalini aliyejaribu kulitafutia ufumbuzi wa kudumu.

Nilisha wahi sikia kulikuwa na tender kubwa tu walipewa Wachina kushughurikia swala la mitalo ni ilirepotiwa kuwa latizo la mafuriko litakuwa limekoma. Sasa inalkuwaje tena au ni ufisadi mwingine?
 
Wakuu, ilikuwa ni wiki iliyopita WB waliishauri Serikali yetu Tukufu kufanya "audit ya value for money" kwa mijipesa tulipewa kwa kujenga/kuboresha miradi ya maji safi na maji taka Jijini Bongo, si ndio??

Ha ha haaa, nadhani wakulu sasa hivi wanajiuliza WB walijuaje muozo wao..... ha ha haaa!! M sure wameshatayarisha jibu la kwa nini audit haihitajiki kwani miundo mbinu ni bomba........ "MWAKA HUU MVUA ZIMEANZA MAPEMA SANA NA NI NYINGI KULIKO KAWAIDA KUTOKANA NA GLOBAL WARMING UKIZINGATIA CREDIT CRUNCH"

Ha ha haaa, I love Tanzania my country, bado wengi wa wakulu wanadhani watu bado tupo miaka ya 40........
 
Nilisha wahi sikia kulikuwa na tender kubwa tu walipewa Wachina kushughurikia swala la mitalo ni ilirepotiwa kuwa latizo la mafuriko litakuwa limekoma. Sasa inalkuwaje tena au ni ufisadi mwingine?

Mkuu BM, hili lijimradi ndile WB wameishauri serikali ifanye audit ya nguvu, so far kimya.... nadhani wanatengeneza majibu ya kama hapo juu!!!
 
Scientist.. yaani hiyo observation yako wenzio wanayo kwa karibu miaka 20 sasa. Wanayo master plan na madubwasha yote; wanajua mitaro inatakiwa kupita wapi na wanajua kabisa nini kinahitajika kufanyika. Si na wenyewe wanaishi na kuendesha magari yao kwenye jiiji hilo hilo?

Guess wanasema nini siku kama ya leo?

"Haya marufiko Dar yataisha lini?" wanajiuliza huku wakikenua menu kwenye magari yao yaliyopandishwa vioo juu huku bendera ya nchi tuipendayo ikishindwa kupepea baada ya kutota kwa maji ya mvua.

Dereva wa mtukufu huyo huwa anabakia na kusema "sijui mzee"...lakini moyo anachowaza siwezi kuandika... ila kinaendana na neno la zamani la "punda na shimo!" ila lile la Kiswahili!

Mkuu M.M.M, you never cease to amaze people like me with your very planned and educative sense of humor, you should make a movie!!!

Unajua ukweli ni kwamba wakubwa ndicho wanachofanya, kisha wakiulizwa kwa nguvu na kutakiwa kutoa majibu wanashauri iundwe tume kuangalia swala hilo......

Bongo kweli ni nchi ya usanii na kitu kikubwa.....
 
Unajua haya yote yatafika mwisho... mark my words.... tunahesabu miezi tu.. Dar-es-Salaam itachagua wabunge wa kutosha wa upinzani, na mabaraza yao ya halmashauri yataenda upinzani.. you heard it first here..
 
Watanzania hatuna akili ama tuna laana. Tatizo hili lipo kila mvua inyeshapo lakini tumeshindwa kupata jawabu mbadala kuhusu tatizo hili. Huwezi kuwa na tatizo moja kila wakati bila ya kulitafutia ufumbuzi. Tukae chini tupange na tuchague tunataka nini kwanza na kwanini tokana na kipato chetu tunachopata hapa nyumbani. Lakini inanisikitisha sana kwani ndiyo kwanza tunafikiria kutumia mabilioni ya pesa katika mradi wa vitambulisho wakati hali halisi ni kama hiyo inavyoonekana. Inafika point najiuliza kwanini nilizaliwa Mtanzania?
 
Lakini hili ni wakazi wa jiji la Dar ambao wamezoea ubovu na uozo. Sidhani kama kuna mkoa wowote nchini ambao wakazi wake wako so content na status quo kiasi kwamba hawawezi na hawako tayari kufikiri nje ya sanduku walimo. Matokeo yake wamezoea ujanja wa kuishi na uchafu.
Hivi mnajua maana ya mafuriko hata huko ugabuni mafuriko yanatokea mnachonishangaza ninyi mnaangalia mabaya tu basi mbona hamsemi mabarabara yanayojenwa
 
Hivi mnajua maana ya mafuriko hata huko ugabuni mafuriko yanatokea mnachonishangaza ninyi mnaangalia mabaya tu basi mbona hamsemi mabarabara yanayojenwa

Haya si mafuriko bali ni maji ya mvua ambayo hayana pa kwenda tokana na ukweli kwamba hakuna mifereji ama mitaro kwa ajili ya maji hayo.
Mafuriko ni pale mito, maziwa na madimbwi yanapozidiwa na wingi wa maji ya mvua mpaka hayo maji yakaanza kusambaa mitaani. Lakini kwa hapa Dar hakuna mto wala ziwa hata moja ambao umetema maji. Ndiyo maana tunawatupia lawama viongozi husika. Hawana vipaumbele katika mipango yao.
 
Hiyo style ya kupandisha upande mmoja kwenye pavement nimeikubali! Ubunifu kweli upo Bongo
 
Dar-es-Salaam itachagua wabunge wa kutosha wa upinzani, na mabaraza yao ya halmashauri yataenda upinzani.. you heard it first here..

Mzee Mwanakijiji

Watanzania ninaowajua mimi hii naona ni kama ndoto....!
 
Jamani moja ya sababu zilizokuwa zinatolewa na wananchi jana ITV ni kuwa mitaro imeziba sababu ya uchafu na serikali haiji kuzoa uchafu ndio maana. Najiuliza sisi wanachi ni watoto tusiojua kuwa uchafu ukitupwa kwenye mitaro itaziba? Mpaka tungoje serikali ije ituzolee jamani!! Ama kweli mtoto umleavyo.

Kwanza serikali ni nani? Viongozi au hata sisi wananchi ni serikali?.
 
Jamani wachina si walikuwa wanafumua fumua miundo mbinu ya maji taka na kusema wanaboresha vp tena walikuweka mabomba size ya DAWASA nini?
Au ulikuwa mradi wa watu flani flani wamesha kula chao basi wananchi tunataabika wao wanapita juu kwa juu.
 
Mzee Mwanakijiji

Watanzania ninaowajua mimi hii naona ni kama ndoto....!

Watanzania sijui tumelishwa nini?
Wepesi wa kusahau na wagumu wa kuhoji kwa nn hii inakuwa hivi.
 
Jamani wachina si walikuwa wanafumua fumua miundo mbinu ya maji taka na kusema wanaboresha vp tena walikuweka mabomba size ya DAWASA nini?
Au ulikuwa mradi wa watu flani flani wamesha kula chao basi wananchi tunataabika wao wanapita juu kwa juu.

Mkuu Fidel, ule mradi tayari ni bosheni wangu na mtoa pesa ameshahoji na amefikia uamuzi wa kutuondoa matongotongo manake kama ni bao wameshatulamba mwanawane....

Hebu angalia hii Thisday :

Finn’s Facts: World Bank, government should do a value for money audit for Dar water project

FINNIGAN WA SIMBEYE
DAR ES SALAAM

LATE last year, the World Bank announced that it was investigating allegations of loss of millions of shillings from Dar es Salaam Sewerage and Water Supply project’s main consultant, Norconsult’s account.

The troubled project funded by the World Bank, European Union, African Development Bank and the Tanzania government has completely failed to improve water supply and sewage system in the country’s commercial capital since taking off over five years ago.

The allegation of loss of an estimated $146,500 from the $61m-worth Dar es Salaam Water Supply and Sewerage System rehabilitation project, matches well the shoddy work which is evident on the city’s roads where substandard Chinese and local firms were hired to repair and replace worn out water supply pipes, sewage chambers and install billing metres in some parts.

After years of this work, it is evident that the city’s good roads, especially in the central business district ,have been damaged by trenches cutting across them or right in the middle while reports of officials at parastatals and government agencies implementing the project getting rich instantly are rife.

The Norconsult loss may simply be a tip of the iceberg which therefore demands that an independent auditor be commissioned to establish if there has been any value for money which Tanzanian taxpayers must know prior to repaying the debt to World Bank, EU and AfDB.

Tanzanians expected that the expensive project and suggested radical World Bank reforms in the water supply sector would improve the management, production and supply of tap water and disposal of waste water from their homes.

What has actually happened is the opposite. The only private company in the name of City Water was thrown out in 2005 due to incompetence, and no improvement has been made in line with the objectives of the project.

Most Dar es Salaam homes continue to endure hard days with dry taps while the billing system continues to charge them for a service which they don’t get. The few high profile consumers at Mbezi Beach, Msasani, Mikocheni, Masaki and Oysterbay are not paying their bills and most of these are the very senior public officials who have sent their girlfriends, relatives and colleagues to work at the poorly managed project.

Doing an audit for value for money will help Tanzanian taxpayers know what they got from the project which has significantly added the country’s foreign debt to new highs and the burden on the next generation.

It is imperative that Dar es Salaam Water and Sewerage Authority and Dar es Salaam Water Supply Company explain their roles and accomplishments in the project which many consumers feel has been squandered.

All too often we have heard complaints against Dawasco for regular or complete dry taps while Dawasa which is responsible for the bulk of implementing the costly project basks in sunshine as if it is doing a good job.

The World Bank should therefore conclude its investigations on Norconsult’s loss of funds and go further by appointing an independent auditor because, strictly saying, there is nothing much to show on the ground for $61m funding which local taxpayers will have to pay back in the future.

If Norconsult, which is a highly respectable and responsible consultant firm with global reputation has lost $146,500, then certainly our own thieving public officials and bureaucrats taking part in implementation of the project should be stinking rich from the looting.

The shoddy work on the ground strongly testifies to this assumption and to clear such doubts the project funders should appoint an independent audit of the job. Otherwise this is just another wasted opportunity for struggling local taxpayers whose thirst for clean tap water and a better sewerage system has once again gone to the dogs.
Courtesy: Thisday (http://www.thisday.co.tz/News/5573.html)
 
Back
Top Bottom