BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,820
- 287,886
RAINING CATS AND DOGS: This was the scene at Dar es Salaam`s central business district yesterday after a sudden heavy downpour caused continuous floods and traffic jams throughout the day.
mdau mkama katuletea hizi taswira za mafuriko nyuma ya alpha house
mc kessy alikuwa millenium towers kijitonyama wakati wa gharika hii
mdau teijan alikuwa katikati ya jiji na kujionea dhahama hii
hii ni kutokana na udogo wa mifereji ya maji na pia kuziba kwa mifereji hiyo na kutohgudumiwa.
Morani75 said:Wakuu, mnajua kuna mvua imenyesha leo hapa mjini kwa kweli sio utani, imeonyesha jinsi gani tuna matatizo mengi zaidi ya hata tunavyojifikiria..... Wenzetu wakifikiria kujenga "space shuttles" etc sisi inabidi turudi darasani na kujaribu kujenga mitaro ya maji ya mvua, storm water systems. Kwa kweli pamoja na kwamba inatia aibu, ni hatari sana na hasara ni nyingi kutokana na mvua hapa kwetu... Imagine that is Dar es Salaam, je Lindi na mikoa mingine???
Hebu angalia hizi picha toka Michuzi Blog!!
mdau mkama katuletea hizi taswira za mafuriko nyuma ya alpha house
mc kessy alikuwa millenium towers kijitonyama wakati wa gharika hii
mdau teijan alikuwa katikati ya jiji na kujionea dhahama hii
hii ni kutokana na udogo wa mifereji ya maji na pia kuziba kwa mifereji hiyo na kutohgudumiwa.
Last edited by a moderator: