Ongeza na BuzaMAJAMBAZI MENGI HUPENDA KUJIFICHA PEMBENI MWA MIJI,CHANIKA,MBEZI,MKURANGA NA N.K.
Juzi nasikia mitaa ya studio upande wa kama unaelekea moroco,watu wameua jambazi/mwiziAngalau show imepigwa, hayo ndo mambo yenyewe
Hili ni kina kirefu tudili kwanza na hawa vibakaTunategemea pia msako wa wauza madawa ya kulevya unaendelea, sisi wananchi tumejitolea kuwafichua wale wote.
Kimsingi hakuna tofauti kati ya Wauza madawa ya kulevya na Majambazi
Unataka kusema Chanika, wakazi wake ni majambazi?Watu wa kazi wengi wamejichimbia huko Chanika
Ova
siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?Hili ni kina kirefu tudili kwanza na hawa vibaka
Unawaamini polisi wa Tanzania wewe? Kwangu mie Ni majambazi yenye uniformWafanywe hivo hivo, ilimradi wawe majambazi kweli....