Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 260
Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
Mbona hata mikocheni Iko hivyo?. Na Kwa nn ukakae uswahilini huko? Hamia Kijichi huku upigwe upepo wa bahariKwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa.
Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.