Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
nyie ndio wapuuzi kweli, eti redio Imaan ndio chanzo cha vurugu, mbona hamsemi hizo redio Maria, Tumaini, n.k
roho inawauma kuona waislamu wana redio yao na inapatikana sehemu kubwa ya nchi tu, basi ishakuwa sooo..
hivi nyie wakristo mna matatizo gani na taasisi za kiislamu? mkishaona taasisi ya kiislamu ipo imara roho zinawauma, mumezoea kuona taasisi za waislamu mbofu mbofu km za bakwata ambazo viongozi wake mumewaweka nyie..
mbona waislamu hawahangaiki na taasisi zenu? ni muislamu gani umemsikia anasema taasisi fulani au redio ya wakristo ifungwe?
acheni ujinga wenu, fanyeni mambo yenu acheni taasisi za kiisalamu km ambavyo waislamu hawahangaiki na taasisi zenu...
nafikiri mkuu hujafiri vya kutosha basi Radio imani haitakiwi kabisa kuzungumzia na kukashifu dini nyingine kama inavyo fanya sasa itoe mafundisho kwa waamini wako inavyohitajika,na hilo gazeti la alnuura liache uchochezi haijawahi tokea na haita tokea kusikia Radio au magazeti ya kikristo yana wasema waislam kama unaushahidi anika hapa jukwaani si kutukanatukana hapa.