Huyu ndugu yetu inaelekea hajui tafsiri sahihi ya serikali...labda tumsaidie according to civics form two "government is the group of people with authority to run matters of the nation" sasa anatofautishaje watoa maamuzi wachache ambao kwa mujibu wake anawainxclude kwenye ajenda lakini anakataa serikali haiusiki...!? Elimu,elimu,elimu laiti tungekuwa nayo huyu adui mjinga angetuondoka tukabakia na akili za kuchambua mambo.Hivi serikali ni nini? na viongozi walioko serikalini ni nini?
Ondoa utumbo wako hapa.
Usipangie watu kitu cha kufanya nguruwe wewe.Katafuteni pesa sasa walahi
Mijitu mizima kumwongelea mwanaume mwenzenu siku 14 hamchoki, imbeciles walahi
Sana sana ni umbea umeandika mchafu wa manenoNi Furaha kwa watanzania walio wengi kupatikana kwa Mo pia ni kushukuru mwenyezi mungu kupatikana kwa Mo akiwa salama
Kwanza mods naomba Uzi wangu uheshimike maana ni maoni ya watanzania walio wengi
Bila kumumunya maneno,serikali hahusiki katka utekaji wa Mo lakin kuna kikundi kinafanya hii kazi ya utekaji chini ya viongozi waliopo serikalini
Kwa mazingira yaliyopo sasa hadi Mo kupatikana kuna watu waliomo serikalini wanahusika kwenye hili tukio
Mazingira,gari kukimbia dakika 15 na kuishia kwenye chumba maalumu
Mo kupatikana kwenye mazingira yenye ulinzi Gymkhana na barabara ambalo limetumika kumfikisha hapo aliko patikana
Kutekwa kwa Roma na mpaka sasa hajawahi kusema watekaji ni nani,na kuna kiongozi alitoa kauli siku ya kupatikana kwa Roma
Baada ya kuandamwa na kodi pale bandarini kibinadamu mhusika hakujisikia vizuri na ukweli ni kwamba ile kodi ilimshushia heshima kuonekana kuwa hana hela ya kulipia mzigo wake
Alichokifanya ni kumteka Mo ili aombe hela awe na hela,yule Kijana anataka sifa na anataka asionekane kuwa hana hela
Lakini imesanuka,movie imefeli kabla ya kukamilika
Kama alitaka kuteka kituo cha Clouds kwa silaha nzito kwa nini asihusike kwenye hili?
Ombi kwa Rais, mwanaye anaichafua serikali, achukue hatua
Asilimia 90 kwenye mitandao,na mitaani,kura za ndio zinaenda kwa mtu huyu
Msimsingizie bashite..! Wapuuzi nyie..Ni Furaha kwa watanzania walio wengi kupatikana kwa Mo pia ni kushukuru mwenyezi mungu kupatikana kwa Mo akiwa salama
Kwanza mods naomba Uzi wangu uheshimike maana ni maoni ya watanzania walio wengi
Bila kumumunya maneno,serikali hahusiki katka utekaji wa Mo lakin kuna kikundi kinafanya hii kazi ya utekaji chini ya viongozi waliopo serikalini
Kwa mazingira yaliyopo sasa hadi Mo kupatikana kuna watu waliomo serikalini wanahusika kwenye hili tukio
Mazingira,gari kukimbia dakika 15 na kuishia kwenye chumba maalumu
Mo kupatikana kwenye mazingira yenye ulinzi Gymkhana na barabara ambalo limetumika kumfikisha hapo aliko patikana
Kutekwa kwa Roma na mpaka sasa hajawahi kusema watekaji ni nani,na kuna kiongozi alitoa kauli siku ya kupatikana kwa Roma
Baada ya kuandamwa na kodi pale bandarini kibinadamu mhusika hakujisikia vizuri na ukweli ni kwamba ile kodi ilimshushia heshima kuonekana kuwa hana hela ya kulipia mzigo wake
Alichokifanya ni kumteka Mo ili aombe hela awe na hela,yule Kijana anataka sifa na anataka asionekane kuwa hana hela
Lakini imesanuka,movie imefeli kabla ya kukamilika
Kama alitaka kuteka kituo cha Clouds kwa silaha nzito kwa nini asihusike kwenye hili?
Ombi kwa Rais, mwanaye anaichafua serikali, achukue hatua
Asilimia 90 kwenye mitandao,na mitaani,kura za ndio zinaenda kwa mtu huyu
Shetani wewe umbea tuYule kijana siku ile aliposema ndugu yetu Mo kapatikana alifikiri ashasaini ile check ya BILIONI 2 baadae kastuliwa kuwa Mo hajasaini ilibidi atuambie tumemnukuu vibaya .
Wamemlazimisha week yote asaini mpaka jana wakaona isiwe nongwa ngoja tumuachie hata hiki kidogo kinatosha japo sio walivyotegemea.
Baba na mwanae wote ni matahira tu.
Shetani wewe umbea tu
hahahaha pale kijana anapoanza papasa makalio ya boss wake...... fire and fury sijui nimepatia ile ya bwana trump
Acha tu wanapiga watuNatamani makanisa ya kinabii yote yafutwe tubaki na madhehebu ya zamani tu.
Maana ni matapeli tu
Wafuasi wa jiwe mtazificha wapi sura zenuSi ni sawa na chadrama tu huyo walahi