Mo Dewji: Mimi ni Mwekezaji makini, Kampuni yangu ya Metl imeajiri Wafanyakazi 34,800 Sisi ni Waajiri Wakubwa wa pili Baada ya Serikali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Screenshot 2023-07-13 at 17-57-59 Mohammed Dewji MO on Twitter.png
Mkurugenzi Mtendaji wa Mohamed Enterprise Tanzania Ltd Mo Dewji amesema yeye ndio Mwekezaji makini mwenye matunda kwenye Uchumi

Mo amesema kampuni yake imeajiri Wafanyakazi 34,800 na inashika nafasi ya pili kwa kuajiri Wafanyakazi wengi sana Baada ya Serikali

Mo ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter!

Bajeti yake ya Malipo kwa Wafanyakazi wake kwa mwezi ni Kiasi gani? Payroll yake inazidi Dola Millioni 2? Tuanzieni hapo
Je mishahara anayowalipa i natisheleza Familia ya Mfanyakazi kujikimu? Je kuna benefits zingine kama Bima ya Afya, changio kwenye NSSF n.k

Kwani kusema kuwa kuajiri wafanyakazi 34,000 haitoshi yawezekana 31,000 ni makuli tu na wanalipwa chini ya Viwango vya kujikimu.
 
Ni kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho.

Ila, kitu ambacho sijaelewa, swali lililopo kichwani kwangu;

Mantiki ya yeye kutoa "STATEMENT HIO" ni nini...? Kutukumbusha...? Kututisha...? Kutujuza...? Kutufahamisha...? Kujisifia na Kujifaharisha...?
 
Amechokonolewa sehemu...Ameshindwa nini kuwa mwekezaji Mkubwa wa Bandari, na sizungumzii kuwa na share DPW

Anapenda Sifa?
Atuelezee nani watekaji!
 
Ni kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho.

Ila, kitu ambacho sijaelewa, swali lililopo kichwani kwangu;

Mantiki ya yeye kutoa "STATEMENT HIO" ni nini...? Kutukumbusha...? Kututisha...? Kutujuza...? Kutufahamisha...? Kujisifia na Kujifaharisha...?

Kigwangala ana kampuni ya HK group kasema yuko tayari kuwekeza simba au yanga hivo Mo akikata tamaa aondoke yeye atatia bilioni 20 na kuendelea na uwekezaji simba
 
Bajeti yake ya Malipo kwa Wafanyakazi wake kwa mwezi ni Kiasi gani? Payroll yake inazidi Dola Millioni 2? Tuanzieni hapo
Je mishahara anayowalipa i natisheleza Familia ya Mfanyakazi kujikimu? Je kuna benefits zingine kama Bima ya Afya, changio kwenye NSSF n.k

Kwani kusema kuwa kuajiri wafanyakazi 34,000 haitoshi yawezekana 31,000 ni makuli tu na wanalipwa chini ya Viwango vya kujikimu.
Uko sahihi kabisa! Nliwahi kufanya survey kwenye viwanda vya METL, 70% ya anaoita Waajiriwa ni Vibarua wasio na mikataba wala mafao. Ni wale wa njoo leo, kesho usije
 
Ni kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho...
Jamaa ni mjivuni sana. Amesahau hivyo viwanda na mashamba anayo jivunia, aliyejenga na kuanzisha ni Nyerere!

Halafu alichokifanya yeye ni kwenda tu kukopa benki hela za kuboreshea, huku akitumia hayo mashamba ya mkonge na viwanda vyetu kama dhamana ya mkopo baada ya familia yake kubinafsishiwa hizo mali kwa njia za giza.
 
Kwa nini hakupewa mapalala au cheyo hivyo viwanda!?
 
Jamaa ni mjivuni sana. Amesahau hivyo viwanda na mashamba anayo jivunia, aliyejenga na kuanzisha ni Nyerere!

Halafu alichokifanya yeye ni kwenda tu kukopa benki hela za kuboreshea, huku akitumia hayo mashamba ya mkonge na viwanda vyetu kama dhamana ya mkopo baada ya familia yake kubinafsishiwa hizo mali kwa njia za giza.
Acha wivu, yeye si mtanzania? Kwanini wengine hawakwenda kukopa na kuviendeleza? Acheni kunyanyasa watanzania wenzenu
 
To be frank nchi hii inahitaji Katiba mpya, kuna watanzania wenzetu wameamua kujifanya wao ndiyo miungu yetu na sisi ni watumwa wao ambao tena hawana akili...Is very bad for a country
 
Back
Top Bottom