Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kwanza tupate history ya hizo b50,je ni fedha za halafu??halafu? Je utajiri huo haukujengwa kwenye fedha za dhuluma na maangamizi ya Mali asili za watanzania? Je agustino Mrema alikuwa anapambana na Nani alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka hiyo?
Nimesoma comment nyingi zikimsifu huyu mtu,sitaki niijingiZe kwenye ujinga uliojaa kwenye vichwa vya watanzania kusifu wenye fedha bila kujua background yao,,,
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Umasikini hauko mifukoni bali uko kichwani
 
Technology inaweza kuhack kupitia satellite hata nje ya nchi na mifumo mbali mbali kama itumikayo kuwanasa magaid ngoja washamba wasiojulikana waaibike
 
Mkuu mimi kwa wiki mbili hizi nilikuwa busy sana sana nikimuuguza mzee wangu mmoja Hyderabad India, hatimae siku ya tarehe 14 alifariki na tukaja kuzika nyumbani sikuwa nafatilia kabisa mkasa wa huyu kaka yetu Mo. so no comment kakweli
 
Kwanza tupate history ya hizo b50,je ni fedha za halafu??halafu? Je utajiri huo haukujengwa kwenye fedha za dhuluma na maangamizi ya Mali asili za watanzania? Je agustino Mrema alikuwa anapambana na Nani alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka hiyo?
Nimesoma comment nyingi zikimsifu huyu mtu,sitaki niijingiZe kwenye ujinga uliojaa kwenye vichwa vya watanzania kusifu wenye fedha bila kujua background yao,,,
Hao walianza kutafuta hela toka enzi ya mkoloni wakati vizazi vyako vinawaza ngono wao wanawaza Pesa, umasikini ni matumizi mabaya ya akili.Ukiitumia vizuri unakuwa tajiri. Soma history ya Tanganyika na Utajiri wa wahindi. Ukisoma degree ya Nyuki huwezi elewa Zaid kama umesoma history
 
Slavery mentality....!!!
 
Hii nchi ina watu wajinga , wapumbavu , wenye roho mbaya chafu na za kishetani , wachukia maendeleo ya wenzao , wenye chuki na wivu mbaya ...........Pitia comments humu na utagundua ninalomaanisha
 
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Anaandaa nondo labda kuzitetea hizo Picha za kudownload
 
Back
Top Bottom