Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ni Furaha kwa watanzania walio wengi kupatikana kwa Mo pia ni kushukuru mwenyezi mungu kupatikana kwa Mo akiwa salama

Kwanza mods naomba Uzi wangu uheshimike maana ni maoni ya watanzania walio wengi

Bila kumumunya maneno,serikali hahusiki katka utekaji wa Mo lakin kuna kikundi kinafanya hii kazi ya utekaji chini ya viongozi waliopo serikalini

Kwa mazingira yaliyopo sasa hadi Mo kupatikana kuna watu waliomo serikalini wanahusika kwenye hili tukio

Mazingira,gari kukimbia dakika 15 na kuishia kwenye chumba maalumu

Mo kupatikana kwenye mazingira yenye ulinzi Gymkhana na barabara ambalo limetumika kumfikisha hapo aliko patikana

Kutekwa kwa Roma na mpaka sasa hajawahi kusema watekaji ni nani,na kuna kiongozi alitoa kauli siku ya kupatikana kwa Roma

Baada ya kuandamwa na kodi pale bandarini kibinadamu mhusika hakujisikia vizuri na ukweli ni kwamba ile kodi ilimshushia heshima kuonekana kuwa hana hela ya kulipia mzigo wake

Alichokifanya ni kumteka Mo ili aombe hela awe na hela,yule Kijana anataka sifa na anataka asionekane kuwa hana hela

Lakini imesanuka,movie imefeli kabla ya kukamilika

Kama alitaka kuteka kituo cha Clouds kwa silaha nzito kwa nini asihusike kwenye hili?

Ombi kwa Rais, mwanaye anaichafua serikali, achukue hatua

Asilimia 90 kwenye mitandao,na mitaani,kura za ndio zinaenda kwa mtu huyu
 
Hey
tapatalk_gif_1539773541108.gif
 
ombi kwa rais,mwanae qnaichafua serikali. Hapo mwisho ndo nmecheka hatareeee aseeee
 
Hivi serikali ni nini? na viongozi walioko serikalini ni nini?
Ondoa utumbo wako hapa.
 
Ni mazingira gani anaitwa mwanae na mazingira gani anaitwa serikari? Yako mambo mengi sana yanafanywa tunaambuwa serikali imefanya na pongezi zinamwagwa kemkem!! Kwanini kwa hili useme kikundi tena (mwanae ) badala ya kuitwa serikali??
 
Katafuteni pesa sasa walahi
Mijitu mizima kumwongelea mwanaume mwenzenu siku 14 hamchoki, imbeciles walahi
 
Shida ni kwamba watanzania hata wakigegedewa mademu wao siku hizi watasema hao watu wametumwa na mtoto wa rais. Ujinga mtupu
 
Yule kijana siku ile aliposema ndugu yetu Mo kapatikana alifikiri ashasaini ile check ya BILIONI 2 baadae kastuliwa kuwa Mo hajasaini ilibidi atuambie tumemnukuu vibaya .
Wamemlazimisha week yote asaini mpaka jana wakaona isiwe nongwa ngoja tumuachie hata hiki kidogo kinatosha japo sio walivyotegemea.
 
85 Reactions
Reply
Back
Top Bottom