Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,124
- 201,141
Wewe ni short temper kind of girl?Huwa najisikia offended sana mtu akinishika maumbile yangu. Napata hasira sana.
Wewe ni short temper kind of girl?Huwa najisikia offended sana mtu akinishika maumbile yangu. Napata hasira sana.
Kabisa ilikua kali sana room nzuri...shida jamaa alimwachia ndgu kusimamia ikachoka..sasa hivi ameikodishiaIle lodge wakati mpya nimetafuna sana watoto wa Sinza, ila baada ya muda flani ilichoka, customer care haikuwa nzuri sana. Masogange kabla hajatoka kivile alikuwa anakaa mitaa ile pia.
U are very arrogant.Vp ukijishika mwenyewe au . boyfriend akishika Bado unapata hasira
Yes mkuu.Wewe ni short temper kind of girl?
Nae alikufa utata utata tuTarehe 17/07/2020 mdogo wake 17/07/2021 yeye ?? Mshana unaneno gani hapa.View attachment 1858279
Marehemu (muuaji ) enzi za uhai wake akiwa anafunzwa/fundishwa silaha jinsi ya kulenga/kupasua kichwa cha adui.Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)
View attachment 1857511
Hapa anahusika na niniMwigulu utalipia vifo hivi.
Na damu nzito inatoka kama uji wa topeMtu hewa inatoka katika koromeo risasi mbaya asee
wivu wa kuua au unazungumzia wivu wa nini. shida wachaga ushamba na upopoma unawasumbua sana kwamba kila mchaga ni tajiri. wachaga wengi ni mafukara tena ya kutupa nenda kijijini kwenu. kinachowasaidia ni Tanzania kwenu umaskini uanatishaWe kima punguza Wivu na wachaga. Wivu utakuua umbwa ww
Hebu fikiria hata Yule WA 'Dialo'alikuwa anamiluki silaha'.Halafu kuna vijeba vinataka sheria ya kumiliki silaha zifanyiwe marekebisho ili kila anaehitaji kutumia silaha atumie, Bila kugundua kwamba raia wengi wana matatizo mengi ya akili, hawana utulivu katika maamuzi yao, Sasa sheria ikifanyiwa mageuzi ili watu wengi waweze kumiliki silaha na kuongeza mapato ya Serikali Nchi itageuka ya fujo kila mahali.
Kuna mwingine yumo humu kila reply anaweka dislike Naona na yeye tayari kimeshaumana.Khaa huyu bwana alikua mshamba sana
Kwa huna masikio?Umethibitisha kuwa ni mchaga??
Kwann ataje kabilaKamanda wa polisi ameshatuambia mchaga anafanya biashara kariakoo. wachaga wana nini?
Mwingine huko Mbezi Makabe kamchoma mtu mishkaki!😥Kwann ataje kabila
Nae alikufa utata utata tu
Wewe ndo unamaana sasa? Takataka tu kama takataka zingine.Wachaga hamna maana. Full stop.
Aliyejiua ni wa Kilimanjaro. Labda ndugu zake na yeye mwenyewe walihamia. Au la majina yanafananaWengi wenye jina hilo ni kutoka Kyela, alikuwa chifu, ukoo wa Mwakalinga
Bonde la Mwakaleli lenye mandhari nzuri na ya kipekee. Kukaaja kumyitu kununu fijho mweh! Ila kwa sasa baridi kali sana kama MaketeWabongo bana.....
unaweza kuta ww jamaa upo mwakaleli....
lkn unavyo comment as if upo kwenye tukio....umeshuhudia....