Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

WALEVI NA POMBEE

wanaume wamefirwa sababu ya pombe.

Madem wamefirwa sababu ya Pombe

Watu wameibiwa, wameuliwa sababh ya Pombe.


Huko Uingereza, inasemekana asilimia 20% ya vifo vilivyotokea wakat wa wote wa rokudauni vimetokana na Pombe.



Acheni Pombe !!!
Shehe punguza ukali wa maneno.
 
Aisee, asante sana mkuu. Lile tukio nilichukiaa. Sikufikaga tena ofisini aisee. Nilikaa mudaaa. Nilipata mfadhaiko sana. Niliogopa sana. Maybe pia ningekua na silaha ningemdhuru kweli. Nilipokuja sikia amekufa basi nikakaa kimya tu japo bado najisikiaga hasira kila nikilikumbuka lile shetani
Bar yenu ipo maeneo gani?
 
Duka la dawa linalipa ukikaa mwenyewe...ndio kilichomponza alex, akili zake hazikumudu hizo hela chache alizokuwa anapata akajikuta boss kama bill gates
Alex alikuwa na nyota ya hela sana.hata kipindi anauza nguo alikuwa poa Sana tu.alipata helaaa akaenda kuzila Dec
Xmas moja . Alikuwa na misifa tu iliopitiliza sio mshamba wa hela .
 
Back
Top Bottom