Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Ndiyo hilo la ujivuni na ujuaji alikuwa nalo ila alikuwa muoga, sikuwahi kushuhudia au hata kusikia yeye kuanzisha fight au hata kushiriki. Labda huo uoga wake ndio uliomfanya atafute kitu cha kumpa confidence. Ila pia alikuwa yupo exposed hivyo ni kweli alikuwa anafamu issues nyingi. Ametembea sana.
Kuna video zinatembea akiwa ana train kushoot...huo mguu wa kuku ulimchanganya sana na inaelekea ilikuwa ni ndoto zake kuumiliki.
 
Huyu si mtoto wa Mzee James Oraaa wa Majengo Moshi, baba yake alikuwa real money maker & fighter. Hawa ni wanyakyusa ila maisha yao wamekuwa Moshi.

Baba yake kamiliki mguu wa kuku kipindi Cha kina Raisi Mwinyi na akuwahi kusumbua raia na mtu wa watu.
Ok Oraa alikuwa na mwanae jina jenero na mdogo wake jina sikumbuki ni true au nimekosea?
 
Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Sawa...
Mwisho wa siku ni alikuwa amelewa
Akapishana kauli na wenzie,zisizo kuwa
Na mbele wala nyuma akawatandika risasi
Yeye mwenyewe akajitandika!
Mambo ya mtungi + anajua mwenyewe nini kilikuwa kinamsumbua

Ova
 
Nadhani si kila mtu wa kupatiwa umiliki wa Bunduki.

Ni kwamba mtu anapoenda kuhitaji silaha ya kujilinda (bastola) tayari huyo mtu

kashakidhi vigezo vyote vyakuita laki 1 (kijisent) sasa ndugu yangu mtu ambae laki 1

ni kijisent unafkiri kuna wakumnyima silaha akiamua enda iomba? tena kwa kufata utaratbu?

maana ana uwezo wakuipata hiyo silaha kwa magendo,ila hajataka iwe hivyo akaamua afate utaratbu

unafkiri watoa vibali wakibustiwa na vijisent vya jamaa watakua na ubavu wakunyima/kuzuia vibali kwa muombaji?

Penye pesa hakishindikani kitu serikali yenyewe inahtaji pesa,sembuse huyo mtoa kibali cha kumiliki bastola?

Tufundishane tu na kufundisha watu wote kuwa unapoona unaeongea nae kakuzidi kila kitu Bila kujali ana bastola au hana, jiweke mbali nae maana ulimi wako wa neno 1 tu unaweza sababisha uka acha TITLE kwenye vyombo vyote vya habari.

Wenye pesa hasa watumia vileo sio watuwakukaa nao karibu kbsa, Ni mashetani yanayotembea nchi kavu ukiyavuruga yanakuvuruga kila kitu.
 
Alikuwa babe wangu kitambo
Fighter Sana wa maisha.ila alikuwa na sifa dunia nzima yaani.alizaliwa kwenye utajiri mzee wake akafulia hakukubali .jamaa alikuwa mbishi hadi kwenye maisha kweli bwana akaja akatoboa.miss u abdi Alex koroso.unakumbuka uzi wangu wa watu naoelewana nao?? Nilimtaja
Abdi Hussein ....Alex James Koroso. One man down.
 
Ni kwamba mtu anapoenda kuhitaji silaha ya kujilinda (bastola) tayari huyo mtu

kashakidhi vigezo vyote vyakuita laki 1 (kijisent) sasa ndugu yangu mtu ambae laki 1

ni kijisent unafkiri kuna wakumnyima silaha akiamua enda iomba? tena kwa kufata utaratbu?

maana ana uwezo wakuipata hiyo silaha kwa magendo,ila hajataka iwe hivyo akaamua afate utaratbu

unafkiri watoa vibali wakibustiwa na vijisent vya jamaa watakua na ubavu wakunyima/kuzuia vibali kwa muombaji?

Penye pesa hakishindikani kitu serikali yenyewe inahtaji pesa,sembuse huyo mtoa kibali cha kumiliki bastola?

Tufundishane tu na kufundisha watu wote kuwa unapoona unaeongea nae kakuzidi kila kitu Bila kujali ana bastola au hana, jiweke mbali nae maana ulimi wako wa neno 1 tu unaweza sababisha uka acha TITLE kwenye vyombo vyote vya habari.

Wenye pesa hasa watumia vileo sio watuwakukaa nao karibu kbsa, Ni mashetani yanayotembea nchi kavu ukiyavuruga yanakuvuruga kila kitu.
Sahv kwenye ma bar kuna upuuz mwingi
Kuna watu akili zao haziko sawa ukijumlisha
Na kileo basi ni shida,kama ana silaha lolote lile linaweza tokea

Ova
 
Back
Top Bottom