Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Wakapumzike panapowastahili, pia serikali iwe makini sana katika kuwamilikisha baadhi ya watu silaha!
 
Sikumwelewa yule marehemu,inakuaje mkeo anauza papuchi na alikua mkongwe pale alafu anamwonea wivu.

Ile ni gear tu ya kumuibia Mtu na huwa wanakuwa zaidi ya mmoja ,wana kusachi na kukuacha mweupe.Maeneo kama hayo ustaarabu hamna ni Wizi tu wakati wote hasa kwa Walevi.
 
Sawa...
Mwisho wa siku ni alikuwa amelewa
Akapishana kauli na wenzie,zisizo kuwa
Na mbele wala nyuma akawatandika risasi
Yeye mwenyewe akajitandika!
Mambo ya mtungi + anajua mwenyewe nini kilikuwa kinamsumbua

Ova
Ni misifa tuu mkuu. Jamaa alikuwa anaifyatua tu hovyo hovyo akajikuta ashatoa uhai wa mtu naye akaona isiwe ishu ila all in all hakuna kitu kibaya kama kuamka nazo kisha ukaenda kuzibua yani unakuwa hi kinoma.
 
R.I.P Gift


20210718_170515.png
 
Back
Top Bottom