Dar: Matukio na yanayojiri jijini...

Dar: Matukio na yanayojiri jijini...

Mkuu hapo umenena.

[
QUOTE=NKADABWI;4996519]TUPENDANE JAPO HATUONANI,JAPO HATUFAHAMIANI
SISI NDUGU
:smile: :smile:[/QUOTE]
 
Wakuu hapa ni kariakoo, ndio naona kibao pale...hii barabara siijui lakini kuna kiwanja hapa...nauliza naambiwa panaitwa mnazi mmoja. Pamoja na ugeni sina mashaka. Kulia kwangu ni bank ya CRDB, kauwazi kidogo mbele kidogo na si mbali sana naona ofisi za CCM, sawa nauliza naambiwa ni Lumumba..Hapa kulia nawaona ombaomba wengi wamekusanyika. Namuita mmoja na kumuuliza kulikoni ananiambia wanangoja wapewe hela toka dukani kwa Ismail. Simjui ila nasikia ni tajiri fulani na huwa ni kawaida yao kupewa hela. hii inanivutia sana,,,,tamaa ya kumuona mtu kama lara 1 mdau mwenzetu humu JF inaniingia ghafla, hapa lazima "angejiongea" anatoka kijana wa kiislamu anaanza kuwagawia hela...Dar raha sana. wanagombana kupata hela...Elfu tano tano....huyu amepata lakini namwona amebadili kanga yake amewahi kule mwisho ili apate tena. Haya elfu mbili mbili sasa, sijui ni vigezo gani hutumika. Ngumi zinachapwa hapa, sipati picha. Ni mzee mmoja amevaa vizuri sana.............ala kumbe na yeye ni ombaomba?!!!huyu mwingine ni mtu mzima, mkoma. anadondosha simu...wallah hii simu hata mimi sina, ni aple nyeusi. najaribu kumsogelea naona anabofya. namchunuza sana halafu wenzake wanamwambia ati amekuwa ombaomba kwa siku nyingi aache tu sasa aendelee kula kodi ya nyumba zake kule Kigogo mbuyuni, na zile mbili kule mbhurahati....Wanasimuliana wampigie mmoja wa mawaziri ili awape appointment ya hela. Huyu mmoja anapiga, "haloo, kimya, anarudia haloo muheshimiwa Dr Mwakyembe shikamoo" hapa nashindwa kuvumilia, Kicheko cha furaha na machozi ya huzuni vyote kwa pamoja.(Machozi ya huzuni kwani anayetoa shikamoo ni mzee kuliko Mwakyembe, Kicheko cha furaha kwa ujasiri wa kumkabili "Muheshimiwa")..Anaambiwa aende nyumbani kwa mheshimiwa, atamkuta Abdul-latif nje ya geti na atapewa hela...yaliyoendelea mi siyajui, wakati anapanga kuondoka mwenzake mmoja akawa anataka kumfuata lakini akajitahidi kumdhibiti ili wasiongozane...naambiwa hawa ombaomba ni very professional, na wana namba za waziri au mbunge yeyote wakimtaka..........nipo Dar Kesho Arusha, na baadaye Nairobi, nitawaaga wadau. Ila hadi sasa nimeifurahia Dar sana. Nitaendelea kuainisha matukio yote niliyoyashuhudia Hapa.
safi sana nimeipenda
 
Wanajamii, niko Dar, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012

Asante kwa wale walionipigia, tumeongea nimefurahi sana, mambo ya Dar ni makubwa

Yafuatayo ndiyo niliyoyashuhudia, Nikiongozwa na family friend wetu Khadija Mzanzibari, ni matukio ya siku tofauti tofauti, sio ya siku moja:

Temeke pale Sokota: Lori kubwa lililobeba kontena lilimkanyaga kondakta wake mguu umesagika, lilikuwa linapaki na yeye analiongoza.

Temeke eneo la KISUMA night Club: nyama ya mbuzi siyo fresh, machangudoa wote na mashoga bila kificho, Sijaona usalama wa kutosha jioni...kujiuza kwa wadada na wakaka ni jambo la kawaida hapo.

Tandale Sokoni: Vibaka wasio na uzoefu wakiwasachi watu

Nyuma ya The Girafe Hotel: Hapo kuna mtaa unaitwa Sudan, Nyumba imejengwa ina vyumba vidogo vidogo sana, wadada warembo wamekaa kila mtu mbele ya chumba chake kusubiria wateja. Ukifika hata usipoongea na yeyote we unaingia tu ndani na yule aliye mbele ya chumba chake anakufuata. Cha ajabu niliambiwa wote ni wahaya, na Mwenye hiyo nyumba kazi yake ni kuwasaidia kutafuta wateja. Wanakupa bei ya matumizi ya bila condom, matumizi ya condom, matumizi ya "njia ya haja kubwa" ila bei ni kuanzia TZS 2000 tu.

Sunrise Beach Resort, Kigamboni: niko na wife, nimepaki gari eneo sahihi akaja mdada mzuri sana na kuniambia kwa sauti ya upole "kaka unaweza kunipisha nipaki kwani hili ni eneo langu la siku zote, kabla sijajibu akapotea, nilishangaa sana.Tukahamia Kipepeo Beach Resort.

Tausi Guest House (Kwa nje) Kinondoni Morocco: Khadija Mzanzibari anatamani kitu, anashindwa kuniambia live,.."shem mi kuna kitu nakitamani sana" nini tena shem, namuuliza. yeye anaguna, halafu nami naanza kupata wasiwasi. "mpigie mkeo atakwambia, yeye nilishamwambia". Napata ahueni, nampigia wife, hayuko mbali, kaenda mara moja crdb bank kwa manyanya,,, "dad si nakuja" ananijibu. Khadija ananipa stori za Zanzibar, tunapata kinywaji,....wife huyu hapa kafika...."dad ni kweli Khadija alinieleza kitu, tumkubalie tu.....tunaondoka hadi Mbagala Annex, kwa Mr D. Tunaagiza chakula, na Khadija anaagiza chakula chake akipendacho...anakifurahia sana, "anasema now we can talk"

DarLive Ukumbini, Mbagala: Mrembo mmoja amelewa mchana na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine eti joto limezidi. Mara huyo kasimama ananiuliza "anko vipi, si ukanipe kimoja tu, namuuliza nini, ananiangalia...Khadija Mzanzibari akamuuliza"mbona unachotaka kumpa mi tayari nimeshampa?" yeye akajibu "ina maana utamu wote umeupata mwenyewe...kicheko pande zote, mi kimya.kidogo wife huyu hapa."dad twende zetu mambo ya Dar hutayaweza.

Temeke eneo la Kanisa la Wasabato: Nashuhudia umati mkubwa wa watu wakielekea usawa wa Temeke Hospital, eti kuna mtu amefumaniwa na mke wa mtu wakifanya mapenzi halafu wameng'ang'aniana...mara polisi hawa hapa, mabomu ya machozi kama kawaida.

Bado naendelea na michakato.

Wakuu nili-extend safari haDI Dec 2012, bado niko nyumbani. Haya yametokea Arusha, maeneo ya Sakina karibu na "Kibanda cha Maziwa" Ni katika duka la spea za magari, pembeni kuna ka mgahawa. Nimekaa na wife tunapata chochote..Mwenye duka katoka na kwa kujiamini kaacha duka wazi. Ghafla kaja mtu kama mteja, naye kakaa kwenye viti vya wateja....kitendo cha ghafla hiki...kaingia kaunta kavuta droo ya fedha na kuanza kuhangaika kuzihifadhi kama zake mara kafanikiwa...Kabla hajatoka kaingia mteja wa kweli na kuuliza spea aitakayo..jamaa kajisahau na kuanza kuitafuta. Wakati akiendelea kutafuta mwenye duka akaingia......Tulishtushwa na kelele za "mwizi..mwizi...mwizi"...kipigo kikali toka kwa umati wa watu uliofurika, hela zote za mauzo anazo yeye..Pembeni kuna garage na car wash, wote wanakuja na kutaka kuitoa roho yake.....kuna mtu aliwapigia simu polisi ....wanafika na kuondoka na mtu asiyejiweza kabisa....

Wa Eneo hilo mtakuwa mnaijua hiyo....Jamani niacheni tu niandike kwani nilikuwa nimepa-miss home.

Wanajamii, niko Dar, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012

Asante kwa wale walionipigia, tumeongea nimefurahi sana, mambo ya Dar ni makubwa

Yafuatayo ndiyo niliyoyashuhudia, Nikiongozwa na family friend wetu Khadija Mzanzibari, ni matukio ya siku tofauti tofauti, sio ya siku moja:

Temeke pale Sokota: Lori kubwa lililobeba kontena lilimkanyaga kondakta wake mguu umesagika, lilikuwa linapaki na yeye analiongoza.

Temeke eneo la KISUMA night Club: nyama ya mbuzi siyo fresh, machangudoa wote na mashoga bila kificho, Sijaona usalama wa kutosha jioni...kujiuza kwa wadada na wakaka ni jambo la kawaida hapo.

Tandale Sokoni: Vibaka wasio na uzoefu wakiwasachi watu

Nyuma ya The Girafe Hotel: Hapo kuna mtaa unaitwa Sudan, Nyumba imejengwa ina vyumba vidogo vidogo sana, wadada warembo wamekaa kila mtu mbele ya chumba chake kusubiria wateja. Ukifika hata usipoongea na yeyote we unaingia tu ndani na yule aliye mbele ya chumba chake anakufuata. Cha ajabu niliambiwa wote ni wahaya, na Mwenye hiyo nyumba kazi yake ni kuwasaidia kutafuta wateja. Wanakupa bei ya matumizi ya bila condom, matumizi ya condom, matumizi ya "njia ya haja kubwa" ila bei ni kuanzia TZS 2000 tu.

Sunrise Beach Resort, Kigamboni: niko na wife, nimepaki gari eneo sahihi akaja mdada mzuri sana na kuniambia kwa sauti ya upole "kaka unaweza kunipisha nipaki kwani hili ni eneo langu la siku zote, kabla sijajibu akapotea, nilishangaa sana.Tukahamia Kipepeo Beach Resort.

Tausi Guest House (Kwa nje) Kinondoni Morocco: Khadija Mzanzibari anatamani kitu, anashindwa kuniambia live,.."shem mi kuna kitu nakitamani sana" nini tena shem, namuuliza. yeye anaguna, halafu nami naanza kupata wasiwasi. "mpigie mkeo atakwambia, yeye nilishamwambia". Napata ahueni, nampigia wife, hayuko mbali, kaenda mara moja crdb bank kwa manyanya,,, "dad si nakuja" ananijibu. Khadija ananipa stori za Zanzibar, tunapata kinywaji,....wife huyu hapa kafika...."dad ni kweli Khadija alinieleza kitu, tumkubalie tu.....tunaondoka hadi Mbagala Annex, kwa Mr D. Tunaagiza chakula, na Khadija anaagiza chakula chake akipendacho...anakifurahia sana, "anasema now we can talk"

DarLive Ukumbini, Mbagala: Mrembo mmoja amelewa mchana na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine eti joto limezidi. Mara huyo kasimama ananiuliza "anko vipi, si ukanipe kimoja tu, namuuliza nini, ananiangalia...Khadija Mzanzibari akamuuliza"mbona unachotaka kumpa mi tayari nimeshampa?" yeye akajibu "ina maana utamu wote umeupata mwenyewe...kicheko pande zote, mi kimya.kidogo wife huyu hapa."dad twende zetu mambo ya Dar hutayaweza.

Temeke eneo la Kanisa la Wasabato: Nashuhudia umati mkubwa wa watu wakielekea usawa wa Temeke Hospital, eti kuna mtu amefumaniwa na mke wa mtu wakifanya mapenzi halafu wameng'ang'aniana...mara polisi hawa hapa, mabomu ya machozi kama kawaida.

Bado naendelea na michakato.
Huyu kijana kavaa shati jeupe, suruali ya kadet na sendos, ana mapozi sana........mke wake huyu au? Huyu ni Riz1 na huyu dada anaitwa Maimatha Jesse, naambiwa alikuwa miss.....na huyu ni mtoto wao, yaani mtoto analindwa hivi?!!!! Dar Live si ya Shigongo Erick, ni ya Riz1 Kikwete.................usiulize mmiliki mwingine
 
Niko mjini maeneo ya Exim Bank,karibu kabisa na jengo la kitega uchumi...pembeni kuna jengo la E.H....nakaribishwa na .....huyu dada S, ananieleza kuwa Martha alifukuzwa kazi kwa kutoa siri za boss wake E.H kuwa ni shoga..alaaaaaaaaaa kumbe ni kweli Sophia ananipa ukweli na jinsi boss anavyoliwa na eneo lenyewe.......Dar kuna vituko jamani, naogopa hata ku-reveal jina langu humu
 
Niko mjini maeneo ya Exim Bank,karibu kabisa na jengo la kitega uchumi...pembeni kuna jengo la Erdward Hosea....nakaribishwa na Sophia, ananieleza kuwa Martha alifukuzwa kazi kwa kutoa siri za boss wake E.H kuwa ni shoga..alaaaaaaaaaa kumbe ni kweli Sophia ananipa ukweli na jinsi boss anavyoliwa na eneo lenyewe.......Dar kuna vituko jamani, naogopa hata ku-reveal jina langu humu

mhuu.! Mkuu ya kweli haya.!!??
 
mhuu.! Mkuu ya kweli haya.!!??
haya ni ya kweli mkuu idawa, ukifika Dar fika eneo hilo au ofisini kwake, kuna lawyers wake kama wanne hivi......
 
Mkuu Thanda ukimaliza ziara usisahau kutuandalia kitabu cha ziara yako,bila kusahau matukio yako ya mikoani hasa kisanga cha jijini mbeya. Naamini itakua poa sana...pamoja sana mkuu.!
 
Last edited by a moderator:
huna maana kweli wewe! yaani Dar umeona mambo hayo tu, inaonesha we mwenyewe unafuatilia ishuzi gani.
 
Tatizo wabongo kujifanya mko siriazi kumbe hamna lolote..naamini sio kwamba anafuatilia hizo hizo habari,ila ni matukio ambayo anakutana nayo kwenye ziara yake. Hata wewe unavyokua kwenye mizunguko yako lazima unakutana na vitimbi na ukiwasimulia jamaa zako haimaanishi kuwa ulikua unafuatilia hivyo vitimbi.!
 
Siku zote huwa nasema tukipata watu kama Mkuu idawatutakuwa na maendeleo. Ni kweli mkuu kuna mambo mengi, sababu za kuweka uzi huu si mbaya hata kidogo, na si kwamba hivi ndio vitu navifuatilia...hapana ila ni katika pita pita zangu nakutana na mambo haya.
Lini ningejua DarLive si ya Shigongo, bali ni ya Riz1? idawa huwa unawaza mbali sana tena kabla ya kumjibu mtu unakuwa umetafari kwa kina, na ndio maana huwa post zako kama si kuzi-like basi lazima nichangie......Congrats mkuu.
 
Mkuu Thanda ukimaliza ziara usisahau kutuandalia kitabu cha ziara yako,bila kusahau matukio yako ya mikoani hasa kisanga cha jijini mbeya. Naamini itakua poa sana...pamoja sana mkuu.!
Mkuu idawa Mbeya lazima. Nakumbuka kuna mteremko fulani baada ya pale Simike, kuelekea kule chini Nzovwe...!!navuta kumbukumbu zangu!!
 
huna maana kweli wewe! yaani Dar umeona mambo hayo tu, inaonesha we mwenyewe unafuatilia ishuzi gani.
Mdau Wetu, kila mahali ninapopita huwa kuna vitu vinanivutia. Acha niandike vitu ninavyokutana navyo. Kuna watu wengine hawana muda wa kutosha kufanya utalii wa ndani ili kuweza kuona vitu...hii ni njia nzuri sana ya kushirikiana na kubadilishana yale tunayoyashuhudia.....Katika mji wowote huwa kuna matukio na si kwamba haya niyaonayo hayapo katika miji mingine...hapana. Kuna mambo makubwa kuliko hata haya ila haya ni baadhi tu ya vijimambo ninavyokutana navyo. Naamini hata wewe kuna vitu huwa unaviona na wala huviandiki humu. nikushauri tu kuwa ni bora kujifunza toka kwa wengine na usimtukane mtu. Jenga hoja ili uweze kuipinga hoja ambayo unaona haina tija..Pamoja Mdau Wetu.
 
Hii nimeikuta Dar....eti kunguru wa Dar ni waoga wa manati. yaani wakiiona tu umeishika hawatui.
 
yaani tarehe mbili hadi 9 umeona yote hayo!!! mpaka mitaa bei za "biashara"?? kweli wewe inelekea uandishi ni kipaji chako, wanaosema uandike kitabu hawajakosea.. bongo mie wiki ya kwanza yaani ni shughuli ni kukutana na ndugu na jamaa na marafiki, out karibu kila siku but so excited to catch up, story nyingi hata muda wa kuangalia nani changudoa huwa sina...
 
Wanajamii baada ya kukosekana kwa muda kidogo nimerudi tena. Safari zangu za upcountry (mikoani)zimefana sana.Nimshukuru Mungu Kwa kukutana na mwanajamii mwenzetu, Highlander. Ni mtu wa watu, mcheshi mchangamfu na mwenye kuonekana kama kijanan wa miaka 30 tu. Kanikaribisha nyumbani kwake tukapata kikombe cha kahawa.Mwendo wake tu unamtambulisha ni mtu wa aina gani. Asante sana mkuu. Nategemea kukutana na akina idawa , courtesy na wengine wengi. Nivea ni mtu mwenye huruma sana, hasa katika lile tukio la mtoto Aneth wa kule Mbeya. Asante sana Nivea, nilitoa mchango wangu. Mwita Maranya uko wapi shem?

Nimepita mikoani, Singida, Arusha, Tanga, Musoma, Mwanza na Manyara,, Huko kote kuna mengi niliyoyaona, Nayo pia nitayaeleza. Sikuona sababu ya kuanzisha thread nyingine kuhusu haya, ila wanajamii wawili tu naomba kama mtaridhia nifungue thread ya mikoani pekee. Nimefika pia Mombasa, maeneo ya mariakani, Kilindi, Naa kule gereza la shimo la Tewa...Signon (pale bandarini sikukaa sana...huko vituko ni kila kukicha. Voi, Mbwinzau, Msongaleli, Emali hadi kufika Athi River (mlolongo) unaweza kukuta vioja. Nairobi hali ya hewa ni nzuri sana.

Singida Kuna mambo. Jamani Punda bado ni nyama halali kwa wakazi wa Sepuka na Puma. Iguguno sijaona kwa mach..Kwenye thread ya Mikoani nitaweka wazi ili kila mtu ajue.

Maandalizi mema ya Sikukuu ya Krismass yanaendelea vizuri.

Wanajamii, niko Dar, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012

Asante kwa wale walionipigia, tumeongea nimefurahi sana, mambo ya Dar ni makubwa

Yafuatayo ndiyo niliyoyashuhudia, Nikiongozwa na family friend wetu Khadija Mzanzibari, ni matukio ya siku tofauti tofauti, sio ya siku moja:

Temeke pale Sokota: Lori kubwa lililobeba kontena lilimkanyaga kondakta wake mguu umesagika, lilikuwa linapaki na yeye analiongoza.

Temeke eneo la KISUMA night Club: nyama ya mbuzi siyo fresh, machangudoa wote na mashoga bila kificho, Sijaona usalama wa kutosha jioni...kujiuza kwa wadada na wakaka ni jambo la kawaida hapo.

Tandale Sokoni: Vibaka wasio na uzoefu wakiwasachi watu

Nyuma ya The Girafe Hotel: Hapo kuna mtaa unaitwa Sudan, Nyumba imejengwa ina vyumba vidogo vidogo sana, wadada warembo wamekaa kila mtu mbele ya chumba chake kusubiria wateja. Ukifika hata usipoongea na yeyote we unaingia tu ndani na yule aliye mbele ya chumba chake anakufuata. Cha ajabu niliambiwa wote ni wahaya, na Mwenye hiyo nyumba kazi yake ni kuwasaidia kutafuta wateja. Wanakupa bei ya matumizi ya bila condom, matumizi ya condom, matumizi ya "njia ya haja kubwa" ila bei ni kuanzia TZS 2000 tu.

Sunrise Beach Resort, Kigamboni: niko na wife, nimepaki gari eneo sahihi akaja mdada mzuri sana na kuniambia kwa sauti ya upole "kaka unaweza kunipisha nipaki kwani hili ni eneo langu la siku zote, kabla sijajibu akapotea, nilishangaa sana.Tukahamia Kipepeo Beach Resort.

Tausi Guest House (Kwa nje) Kinondoni Morocco: Khadija Mzanzibari anatamani kitu, anashindwa kuniambia live,.."shem mi kuna kitu nakitamani sana" nini tena shem, namuuliza. yeye anaguna, halafu nami naanza kupata wasiwasi. "mpigie mkeo atakwambia, yeye nilishamwambia". Napata ahueni, nampigia wife, hayuko mbali, kaenda mara moja crdb bank kwa manyanya,,, "dad si nakuja" ananijibu. Khadija ananipa stori za Zanzibar, tunapata kinywaji,....wife huyu hapa kafika...."dad ni kweli Khadija alinieleza kitu, tumkubalie tu.....tunaondoka hadi Mbagala Annex, kwa Mr D. Tunaagiza chakula, na Khadija anaagiza chakula chake akipendacho...anakifurahia sana, "anasema now we can talk"

DarLive Ukumbini, Mbagala: Mrembo mmoja amelewa mchana na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine eti joto limezidi. Mara huyo kasimama ananiuliza "anko vipi, si ukanipe kimoja tu, namuuliza nini, ananiangalia...Khadija Mzanzibari akamuuliza"mbona unachotaka kumpa mi tayari nimeshampa?" yeye akajibu "ina maana utamu wote umeupata mwenyewe...kicheko pande zote, mi kimya.kidogo wife huyu hapa."dad twende zetu mambo ya Dar hutayaweza.

Temeke eneo la Kanisa la Wasabato: Nashuhudia umati mkubwa wa watu wakielekea usawa wa Temeke Hospital, eti kuna mtu amefumaniwa na mke wa mtu wakifanya mapenzi halafu wameng'ang'aniana...mara polisi hawa hapa, mabomu ya machozi kama kawaida.

Bado naendelea na michakato.
 
Wanajamii baada ya kukosekana kwa muda kidogo nimerudi tena. Safari zangu za upcountry (mikoani)zimefana sana.Nimshukuru Mungu Kwa kukutana na mwanajamii mwenzetu, Highlander. Ni mtu wa watu, mcheshi mchangamfu na mwenye kuonekana kama kijanan wa miaka 30 tu. Kanikaribisha nyumbani kwake tukapata kikombe cha kahawa.Mwendo wake tu unamtambulisha ni mtu wa aina gani. Asante sana mkuu. Nategemea kukutana na akina idawa , courtesy na wengine wengi. Nivea ni mtu mwenye huruma sana, hasa katika lile tukio la mtoto Aneth wa kule Mbeya. Asante sana Nivea, nilitoa mchango wangu. Mwita Maranya uko wapi shem?

Nimepita mikoani, Singida, Arusha, Tanga, Musoma, Mwanza na Manyara,, Huko kote kuna mengi niliyoyaona, Nayo pia nitayaeleza. Sikuona sababu ya kuanzisha thread nyingine kuhusu haya, ila wanajamii wawili tu naomba kama mtaridhia nifungue thread ya mikoani pekee. Nimefika pia Mombasa, maeneo ya mariakani, Kilindi, Naa kule gereza la shimo la Tewa...Signon (pale bandarini sikukaa sana...huko vituko ni kila kukicha. Voi, Mbwinzau, Msongaleli, Emali hadi kufika Athi River (mlolongo) unaweza kukuta vioja. Nairobi hali ya hewa ni nzuri sana.

Singida Kuna mambo. Jamani Punda bado ni nyama halali kwa wakazi wa Sepuka na Puma. Iguguno sijaona kwa mach..Kwenye thread ya Mikoani nitaweka wazi ili kila mtu ajue.

Maandalizi mema ya Sikukuu ya Krismass yanaendelea vizuri.

ungekuwa unata attach na tupicha ingenoga zaidi, ili na sisi tufanye utalii wa ndani japo kwa picha. Just a suggestion...
 
Back
Top Bottom