Kwa mtiririko wa story yake hii si ile ya mbezi beach. Ni ya pale Tmk karibu na kituo cha kwenda Kusini.hiyo girafe hotel ya wapi
cheers..... nilidhani ya mbeziKwa mtiririko wa story yake hii si ile ya mbezi beach. Ni ya pale Tmk karibu na kituo cha kwenda Kusini.
Wanajamii, niko Dar, Namba zangu za simu ni 0757 406 881, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012
Asante kwa wale walionipigia, tumeongea nimefurahi sana, mambo ya Dar ni makubwa
Yafuatayo ndiyo niliyoyashuhudia, Nikiongozwa na family friend wetu Khadija Mzanzibari, ni matukio ya siku tofauti tofauti, sio ya siku moja:
Temeke pale Sokota: Lori kubwa lililobeba kontena lilimkanyaga kondakta wake mguu umesagika, lilikuwa linapaki na yeye analiongoza.
Temeke eneo la KISUMA night Club: nyama ya mbuzi siyo fresh, machangudoa wote na mashoga bila kificho, Sijaona usalama wa kutosha jioni...kujiuza kwa wadada na wakaka ni jambo la kawaida hapo.
Tandale Sokoni: Vibaka wasio na uzoefu wakiwasachi watu
Nyuma ya The Girafe Hotel: Hapo kuna mtaa unaitwa Sudan, Nyumba imejengwa ina vyumba vidogo vidogo sana, wadada warembo wamekaa kila mtu mbele ya chumba chake kusubiria wateja. Ukifika hata usipoongea na yeyote we unaingia tu ndani na yule aliye mbele ya chumba chake anakufuata. Cha ajabu niliambiwa wote ni wahaya, na Mwenye hiyo nyumba kazi yake ni kuwasaidia kutafuta wateja. Wanakupa bei ya matumizi ya bila condom, matumizi ya condom, matumizi ya "njia ya haja kubwa" ila bei ni kuanzia TZS 2000 tu.
Sunrise Beach Resort, Kigamboni: niko na wife, nimepaki gari eneo sahihi akaja mdada mzuri sana na kuniambia kwa sauti ya upole "kaka unaweza kunipisha nipaki kwani hili ni eneo langu la siku zote, kabla sijajibu akapotea, nilishangaa sana.Tukahamia Kipepeo Beach Resort.
Tausi Guest House (Kwa nje) Kinondoni Morocco: Khadija Mzanzibari anatamani kitu, anashindwa kuniambia live,.."shem mi kuna kitu nakitamani sana" nini tena shem, namuuliza. yeye anaguna, halafu nami naanza kupata wasiwasi. "mpigie mkeo atakwambia, yeye nilishamwambia". Napata ahueni, nampigia wife, hayuko mbali, kaenda mara moja crdb bank kwa manyanya,,, "dad si nakuja" ananijibu. Khadija ananipa stori za Zanzibar, tunapata kinywaji,....wife huyu hapa kafika...."dad ni kweli Khadija alinieleza kitu
.
Duh hii kali. Kosa lako ni moja tu. Umepewa ruhsa ya kukitembelea kiwanda, wewe ukipita tu nyuma kwenye exioust inakotolea moshi nenda na ua wa mbele kuanzia na mlimani city, kinpisky nk kabla ya kuhitimisha ziara yako

Mkuu Kiby, niko mlimani city na baadaye nitaelekea makumbusho ya taifa, hiki ni kijiji kingine,hapa karibu na cinemax, naambiwa movies zao ni za ukweli. mmiliki ni muhindi vile, anaitwa Muslim Jaffer,ila mimi simjui, anyway ninaomba msaada kidogo, nimekutana na basi lenye rangi ya kijani, ubavuni lina maandishi makubwa meupe yanasomeka hivi"MILITARY BUS SERVICE" reg card yake au plate number kama inavyoitwa huku bongo ni "STK....." na dereva ni askari wa Tanzania Prison Service (Magereza) kwa mavazi yake, swali langu ni je hili basi ni mali ya Magereza au tanzania People Defence Force (JWTZ)?
Naomba muongozo wakuu!!
Harbor View Hotel, chumba cha kulala "standard room ni USD 178, exchange rate ya hotel ni USD 1=THS 1600, usiku unaoitwa "night sea food platter", nimekaribishwa......ati mhudumu hii ni ghorofa ya ngapi vile, nane au tisa?...sahani kubwa kabisa inaletwa ina crabs, prawns, huyu samaki mwingine simjui,ebo mbona tena kuna kuku? kwani na yeye ni wa baharini?....namvumilia, Pembeni kuna BBQ, nakaribishwa na wasabi, ile inayoliwa na sushi(wali na row fish ya kijapan). Hapa napata mashaka kidogo, kwanini wasiniletee "tartar sauce" kwa ajili ya samaki badala ya wasabi? Elimu ya kula sina ila kwa mbali nafikiri watu wa mahoteli mtanisaidia.Nilifurahia kuyaona maji karibu, meli zile palee ingawa ilikuwa ni usiku. Bei ya stangdard room haikuniridhisha, nimewaandikia comments zangu..sijui siku hizi kama masanduku ya maoni yanafanya kazi, labda enzi zile. nitarudi tena hapo kabla ya kuondoka. Nimebakiza siku tano tu hapa Dar.Dah! Huu ni utalii wa ndani...! BTW! Mbona TMK tu? Au ndiyo kwetu Mbagala?
Mkuu umenifurahisha sana, nimepata msamiati mpya,,,kumbe mikoani panaitwa kwenye box?..nimeipenda hii ingawa inadhalilisha kidogo!!....kilichonifanya niache kufanya kazi kule Kuwait ni joto ingawa malipo yao hayakuwa mabaya, hapa napo kuna joto, mimi nimezoea baridi...naoga mara 3 hadi nne kwa siku kabla ya kulala. suti za nini hapa, t-shirt na jeans...kujiachia nako ruksa...SABAYI tukutane Billicanas leo jioni, sipajui ila wife yeye kwao ni hapa hapa, ni mwenyeji sana kabla hatujaoana alinicheka eti sijawahi kufika Dar.......ila hayo maisha ndivyo yalivyo.wewe na wa kule kwenye box au mikoani? Hiyo ndo Dar Mkuu ila inaonyesha unapenda sana starehe bahati nzuri unaenda na my wife wako that's good
Nawasha TV, napata midundo ya " Country Music". Huyu anayeimba ni Trisha Yearwood..."she is in love with the boy"......unajirudia rudia "she gonna marry that boy some day" nakaza macho kujua ni Channel gani..................SIBUKA TV.safi sana nimeipenda
Mkuu umenifurahisha sana, nimepata msamiati mpya,,,kumbe mikoani panaitwa kwenye box?..nimeipenda hii ingawa inadhalilisha kidogo!!....kilichonifanya niache kufanya kazi kule Kuwait ni joto ingawa malipo yao hayakuwa mabaya, hapa napo kuna joto, mimi nimezoea baridi...naoga mara 3 hadi nne kwa siku kabla ya kulala. suti za nini hapa, t-shirt na jeans...kujiachia nako ruksa...SABAYI tukutane Billicanas leo jioni, sipajui ila wife yeye kwao ni hapa hapa, ni mwenyeji sana kabla hatujaoana alinicheka eti sijawahi kufika Dar.......ila hayo maisha ndivyo yalivyo.
Hapana mkuu, siwezi msahau hata kidogo anajua kuitumia nafasi yake vizuri, na lazima nimheshimu sana....na popote niendapo niko na mashemeji zangu wawili, wananipenda sana, wife kanikumbusha IFM wakati. wakati anasoma hapa ndio nilikuwa nafanya bidii kumpata. Mdogo wake wa kiume niko naye, naye anasoma hapa, huyu ndiye best yangu na sidhani kama ataruhusu kuona dada yake akitendwa (ingawa sina matukio ya tabia za namna hiyo), Pia tuko na "family friend" Khadija a.k.a Mzanzibar, huoni hata kama mtu ana tabia zake bado hapa kawekwa kati mkuu.....Nashukuru sana kwa Kampani yenu Mkuu SABAYI, hata kama hatuonani.I'm too old for bilicanas mkuu,Just have funy usimsahau mamsap tu usije jikuta kwa wa haya
Ni Kweli mkuu, si mbali sana na Hospitali ya TEMEKE ingawa mimi mwenyewe ukiniambia niende tena maeneo hayo inabidi kwanza nifike pale hospitali au kituo cha polisi Chang'ombe au kanisa la wasabato TEMEKE...nakumbuka hoteli yenyewe ina rangi ya njano na maandishi yako kwa pale juu kabisa. Ni kama ghorofa nne au tano sikumbuki vizuri.sabasita .. kwa mujibu wa maelezo yake ... hii itakuwa ya Dar Mbele kidogo ya Temeke Hospitali kwenye kona ya Temeke Sudani ... wenyewe vijana wanapaita "Kwa Timbwa"
hii ya huko mbezi haina vituko hivyo thats why nilistuka nikataka kujua huo mtaa wa sudan ni upiHuko mbezi napasikia, nitakuwa huko siku ya Jumanne tarehe 13.11.2012
Asante mkuu, ila huko Mbezi nitaenda tu kama utaratibu wa "utalii wangu wa ndani ya Dar" kabla sijaondoka....lakini mbona najitahidi namna hii na bado silimalizi hili jiji?hii ya huko mbezi haina vituko hivyo thats why nilistuka nikataka kujua huo mtaa wa sudan ni upi
We Iron Lady, si umwakilishe Lady mwenzako? WiseLady kwa kumpatia Mwita Maranya namba zangu za kiganjani..........basi kama unaona uvivu natoa tangazo;Iron Lady, ni kweli na ndio maana nafanya bidii kwani nina muda mchache hapa.....niacheni tu nifurahi..niongeze siku za kuishi.