Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,159
- 1,227
Wewe wasemaMkuu samahani kwa kukukwaza ila utakuwa mmoja kati ya wachache wasiomuunga mkono raisi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaaaa! Hata mimi nimejiuliza kulikoni, viongozi wetu wa kiroho wamepatwa na nini?Kwa Mara ya kwanza namuona kakobe anaongea pumba za kufa mtu.
Kasahau fadhilaHahaa naona DAB Kampiga dongo mzee wa msoga " mara hii ameshasahau alipotoka ..... (hivi ulivyo wewe angekuwa mwingine watoto wake tungekuwa tuna gombana nao mitaani )
Mwisho wa kunukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh binaadamu bwana .. ama kweli pata pesa tujue tabia yakoKasahau fadhila
Ndio kitabu kitakatifu hicho.
Tanzania ina watu wajinga sana aisee. Anafikiri kila mtu anamjua hadija kopanyie watu mbona mnatafuta vikosa vya kijinga sana, kumjua hadija inasaidia nn kuja kwa ndege
Namuona demu wangu wa zamani kitaa hapoBaada ya Bombardier, Dreamliner, ssa tumekamilisha na AirBus 220 - 300 ya pili, a. k. a Ngorongoro! Habari imekwisha. Injinia kamilisha hyo Dreamliner ya pili twenzetu anga zote. Anayebisha anyooshe mkono afanye kama anajikuna!!! View attachment 991842View attachment 991843
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata weye hujazuiliwa kwenda brotherMbona nimeona malori yamejaza watu wamevaa Nguo za kijani na vilemba wanasombwa kama trip za mawe kupelekwa Airport?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ni mali ya serikali chini ya Government Flight Agency, hao ndio wanaikodisha ATCL ndio maana kama umeona pale kuna tukio la Balozi Eng. Kijazi kutiliana saini na watu wa wizara ya mawasiliano ili kuwakabidhi hizo ndege.Nimemsikia Rais kama vile anasema Katibu Kiongozi Balozi Kijazi ndiye aliyeidhinisha pesa za kununua ndege ...... hii imekaaje!!?
Mmhndugu, unanikumbusha wakati fulani watu walivyokuwa wanawahi kurudi majumbani mwao ili tu kuwahi kipindi cha ze comedy cha akina Joti.
hata baa nazo zilikuwa zinafurika kwelikweli kwa ajili ya kutizama ze comedy.
wasanii huwa wana mvuto wao usipime bana!!
Hahaha uneuwa mkuu popote ulipo agiza kinywaji nakuja kulipa.ndugu, unanikumbusha wakati fulani watu walivyokuwa wanawahi kurudi majumbani mwao ili tu kuwahi kipindi cha ze comedy cha akina Joti.
hata baa nazo zilikuwa zinafurika kwelikweli kwa ajili ya kutizama ze comedy.
wasanii huwa wana mvuto wao usipime bana!!
ndugu, unanikumbusha wakati fulani watu walivyokuwa wanawahi kurudi majumbani mwao ili tu kuwahi kipindi cha ze comedy cha akina Joti.
hata baa nazo zilikuwa zinafurika kwelikweli kwa ajili ya kutizama ze comedy.
wasanii huwa wana mvuto wao usipime bana!!
Teh tehndugu, unanikumbusha wakati fulani watu walivyokuwa wanawahi kurudi majumbani mwao ili tu kuwahi kipindi cha ze comedy cha akina Joti.
hata baa nazo zilikuwa zinafurika kwelikweli kwa ajili ya kutizama ze comedy.
wasanii huwa wana mvuto wao usipime bana!!
Haitakuja itokee, hii ni Tanzania , Japo unaweza kuwa Rais ila mifumo usiielewe hasa kuacha mrithi wako