Dar: Mapokezi ya ndege ya pili ya ATCL aina ya AirBus A220-300(Ngorongoro) katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Hizi ngege tunaweza tusizipande maishani mwetu lakini bado zina manufaa makubwa kwa Taifa.

Kwenye Ajira pekee, ATC imeshaajiri zaidi ya Watanzania 300 na bado wanaendelea kufanya hivyo. Ukipiga hesabu ya multiplication effect utaona maslahi ya ndege zetu kwenye eneo hilo.

Utalii. Zile ndege kuwa na bango la Tanzania pekee ni Tangazo kubwa sana Duniani. Hvyo kupitia hizi ndege tutegemee ongezeko kubwa la watalii na hvyo ongezeko la fedha za kigeni. Pesa zitakazopatikana zitatumika kwenye huduma za Elimu, Afya, miundo mbinu nk.

Kwa maelezo hayo mafupi naamini nitazipanda ndege zetu indirectly hata kama sitasafiri nazo hata siku moja.
Asee asikuambie mtu ndege za Air Tanzania zinapendeza sana unapoziona zikipita kwa juu. Jaribu kuziangalia alafu ulete mrejesho. Ata sisi tusiozipanda tunapata furaha fulani na kuamini ipo siku litatokea zali la mentali. Pongezi kwa mbunifu wa hizi rangi na aliyehakikisha zinznunuliwa. Ni raha ilioje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabaaa karibu yote yanasikiliza kinachoendelea uwanja wa ndege. Huyu jamaa ni charismatic leader. Jk watu walikuwa hawako interested hivi kusikia speech zake wala hazikuwa na mvuto.
Jpm anavutia wengi mno ndo mana watu wanasubilia speech zake wako radhi hata wasile.

Ikitokea leo akatoka bila kuongea watu hawataridhika kabisa wanamsubili yeye tu wengine ni mbwembwe tu
Watu wanapenda tamthilia za kikorea siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia tunaenda Canada matengenezo ya bilioni 13 za kitanzania..nawaza tu faida imeingiza kiasi gani bombardier mpaka leo tumudu.
 
Back
Top Bottom