Dar: Mapokezi ya ndege ya pili ya ATCL aina ya AirBus A220-300(Ngorongoro) katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Nimemsikia Rais kama vile anasema Katibu Kiongozi Balozi Kijazi ndiye aliyeidhinisha pesa za kununua ndege ...... hii imekaaje!!?
Sasa hauna uhakila alafu tena unakuja uliza imekaaje, hizi ni dalili za UFIPASISM.
 
JPM hizi ndege ni mvua za lashalasha, mvua kubwa inakuja kunyesha Tanzania
 
Hahaaa mbona jiwe anaponda sana Kiingereza, inaonekana hapendi hata kidogo huyo lugha, .......watoto siku hizi unakuta wanawafundisha, how are you, .....badala ya kuwafundisha mwadila mayoo, au ulakomeyee........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom