Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Mkuu tuhuma nzito hizi,sio kwamba mambo yameathirika na mafuriko?Mkuu uko sahihi,
Wauza maji kwa malori Wanatoa cash kila siku ili maji yaendelee kuwa Shida Pande za Kimara, Bonyokwa,Kinyerezi TAKUKURU amkeni.
Vijana wanaofungulia maji kwa sasa wako kwenye mavuno makubwa. Kuna hujuma ili kumdhoofisha mtu, sasa watakaoumia ni Walalahoi.
Sijaelewa yaan unamaanisha nini?Mkuu uko sahihi,
Wauza maji kwa malori Wanatoa cash kila siku ili maji yaendelee kuwa Shida Pande za Kimara, Bonyokwa,Kinyerezi TAKUKURU amkeni.
Vijana wanaofungulia maji kwa sasa wako kwenye mavuno makubwa. Kuna hujuma ili kumdhoofisha mtu, sasa watakaoumia ni Walalahoi.
Lakin kwingine yanatoka mkuu yaani kuna hujuma kubwa sanaMkuu tuhuma nzito hizi,sio kwamba mambo yameathirika na mafuriko?
Hamia yanakotokaLakin kwingine yanatoka mkuu yaani kuna hujuma kubwa sana
Kivipi mkuu wakati maji eti yanatoka sehem chaches tuAnatafutwa mchawi hapa
Kinyerezi,segerea,mbezi Pako juu,panahitaji pampu yake, November walidai wanafunga pampu shida itaishaLakin kwingine yanatoka mkuu yaani kuna hujuma kubwa sana
Maji yakiwa mengi, hayahitaji pump. Yanamsukumo natural.Kinyerezi,segerea,mbezi Pako juu,panahitaji pampu yake, November walidai wanafunga pampu shida itaisha
Mnajisumbua tu kwa huyu kiongoziMkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.
Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hatatoki wiki ya 3.
Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba jicho lako lile ya 3 lifelike maeneo haya
Nna mtu yuko Dawasa pale alichoniambia, niko hoiii, maji watayasikia redioni, acha watu wavune maokoto.Na mvua zote hizo bado muna mgawo wa maji tena yanakosa presha. Hapo kuna tatizo.
Hao mameneja wa dawasa wanapataje mapato yao.