ukosefu wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Nachingwea walia na ukosefu wa maji safa na salama kwa muda mrefu

    Wananchi wa Kijiji cha Mkumba, Kata ya Mpiruka wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayohatarisha afya na ustawi wao. Wananchi hao wamesema kuwa licha ya kuunganisha mabomba ya maji katika makazi yao kwa matumaini ya kupata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji safi na salama kwa baadhi ya kata Wilaya Bunda vijijini

    Wakazi wa kunda vijijini tunalazimika kuchota maji ziwani ambapo wanyama wananywea humo, watu wanafulia, kuogea na kuoshea vyombo ziwani. Bado maji hayo hayo tunalazimika kutumia kwa kunywa na kupikia hasa kwa wakazi walio pembezoni na barabara ya ukerewe inayopita kibara. Watoto wanahatari...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

    Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku. Tunaomba...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania HOJA RC Mwanza, Said Mtanda, Kwa Huu Ukosefu wa Maji Wiki Zaidi ya 2 Hustahili Kuendelea Kuwa Kazini. Wajibika

    Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne. RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya Kibaha hadi Kisarawe

    ‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
  8. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tabata hatujapata huduma ya maji ya DAWASA kwa takriban miezi miwili sasa

    Kwenu DAWASA Tabata, Waziri Aweso na watendaji wote wahusika; Mimi mkazi wa Tabata napenda kutoa malalamiko yangu rasmi kuhusu kukosekana kwa huduma ya maji katika eneo letu kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa bila suluhisho lolote. Licha ya juhudi nyingi za kuripoti tatizo hili kupitia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

    Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi. Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania KERO UDSM Wafunga Vyoo vya Umma Kutokana na Ukosefu wa Maji

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya. Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kata ya Saranga-King'ong'o

    Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni mwezi wa nne sasa. Sijui shida ni nn ,ni mgao wa maji au nini. Mgao wa miezi minne na mgao gani huo...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20

    Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20, hali hii inakuja baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA Kisarawe bili zinatoka lakini maji hayatoki kwa miaka miwili

    Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema licha ya mamlaka hiyo kushindwa kufikisha...
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kijombe (Njombe) bado uhaba wa Maji ni tatizo kubwa, Mamlaka ya WANGIWASA fanyieni kazi hii

    Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe hapa Njombe uhaba wa maji ni kilio kikubwa kwa baadhi ya Wananchi hali inayosababisha kutumia maji...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa eneo la Kitefure Longuo, Moshi Vijijini hatuna maji kwa muda mrefu

    Kitefure Longuo A Moshi Vijijini, tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kutokana na maji kutotoka hali ambayo inaathiri Watu wengi ikiwemo sisi Wanachuo na Wanajamii kwa jumla, hali hii imedumu kwa muda mrefu sasa, tunaomba kusaidiwa. Hii ni nyumba moja na tunapata maji mara moja kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aweso awaasa DUWASA, Msizoee shida za wananchi

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewaasa wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuacha kuzoea shida za wananchi, na badala yake kuzitafutia ufumbuzi ili wananchi wapate huduma ya Majisafi ya uhakika. Waziri Aweso amewaasa wafanyakazi hao wakati wa Mkutano...
  18. Gekul boy

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji safi na salama Vigwaza, nini kifanyike?

    Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu, 1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI" 2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI WAMEZOEA MAJI YA MASHIMO? 3: N. K
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  20. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawatoi taarifa yeyote; kwako Aweso

    Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
Back
Top Bottom