Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Sasa hiyo sensa imekwisha? Kwa nini wanaandamana tena hapa Dar ndo polisi wapo kibao na bado wamewaacha? Km kweli nchimbi unao ubavu sogelea hao waislamu na vipolisi vyako ndo utaijua nguvu ya Jihadi kwani hapo ni JK,Bilali na raisi wa Zanzibar ndo watatoa matamko.
Una haaaamu ya kuona waislamu wanaendelea kuuwawa!
 
Nimeenda eneo la tukio na kakifaa ambak niliamini kangenisaidia sana kurekodi tukio lakini the kifaa has let me down aisee....but in short ni kundi kubwa sana.....kuna makundi manne yametokea upande wa Tanganyika Library na kundi lingine limetokea barabara iliyo nyuma ya jengo la posta mpya au Diamond Jubilee Building(Jengo la PSPF). Barabara yote inayopita mbele ya Exim House ipo FULL.......!!!
 
Jamani kwani sensa imeisha? Na kwa hawa pia 'vitu vizito toka kwa wananchi' vitatumika?
 
Huu ni huonevu na ukatili unaoendelezwa na jeshi la polisi

Hawa wanapinga vitendo vilivyo fanywa na mahaka wakishilikiana na police kuwa nyima zamana watu walio gomea sensa pia inasadikika kuwa kunamama alikamatwa na police wakamuzalisha hadi akapada buridi ili hari mjamzito chazo hutuba ya leo msikiti wa mtoro.
 
Wanaelekea wizara ya mabo ya ndani. Polisi wanawalinda! Sidhani kama kibali waliomba! Ila polisi wapo na wanajitahidi kuongoza magari maana msongamano ni mkubwa.
 
Tungekuwa tunatumia nguvu kubwa hivi kuandamana dhidi ya mafisadi wafungwe akina Lowassa, change, Rostam Aziz wasingekuwa nje.

Kukosa kugundua ni nini kinakurudisha nyuma ni kosa kubwa sana kimaisha.
 
Hivi intellijensia ya Polisi haikujua maandamano haya ili kuyazuia? Mbona hii intellijensia inafanya kazi one side tuu
 
Wameshafika hapo wizarani. Hivi yule mtaalamu wa jeshi la polisi wa kuwafyatua raia kwa mabomu yupo Iringa au amekuja Dar awashughulikie waandamanaji hawa? Lakini no, Kova na Mwema watamalizana nao kidiplomasia!
 
Wanaelekea wizara ya mabo ya ndani. Polisi wanawalinda! Sidhani kama kibali waliomba! Ila polisi wapo na wanajitahidi kuongoza magari maana msongamano ni mkubwa.

kwa mwendo huo maandamano yataisha kwa amani. waache wakakate kiu yao
 
Wadau Dar es Salaam Ciy Centre....naona maandamano makubwa ya watu inaohisiwa ni Waislamu hapa mitaa ya Posta Mpya wakielekea Mambo Ya Ndani....mwenye taarifa atujuze kulikoni?~

Ni kweli wapo wengi baadhi ya mabango yao yameandikwa polisi acheni dhuluma,
 

subiria utaona watakachofanyiwa ffu wanawafuata nyuma taratiiiibu

waislam sio waoga! mwislam yupo tayari hata kupoteza maisha yake kwa ajili ya ndugu zake! hii yaitwa ikhwan muslimin "muslims brotherhood" hatujali kabila, ramgi, jinsia.. as long una kalimah ya la! ilah! ila Allah! wewe ni mwenzetu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom